MAGAZETI LUKUKI YA Clouds FM wafadhiliwa nani?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
CLouds FM imeanzisha magazeti Lukuki
ambayo hayana kichwa wala mguu
Magazeti hayo ni kama
1.Patapata habari(Gazeti Jipya sijui kama nimepatia jina)
2.Dira Ya Mtanzania(la muda mrefu lakini haliwagusi mafisadi habari zake ni za jeshi na Mali asili)
3. Mengine yanakuja



Je Nani anayafadhili haya magazeti? au ndo Mbio za 2015 zimeanza?
 
Ninavyojua ilo Pata habari na Dira ya Mtanzania yanamilikiwa na Alex Msama
 
Who is alex msama?

Wewe unamjua vizuri huyu jamaa?

Msama ni promota wa nyimbo za Injili ambaye ndiye aliyekuwa anasambaza kazi za Rose Muhando. Pia ni muandaaji wa tamasha la muziki wa Injili maarufu zaidi kama tamasha la Pasaka linalofanyika kila mwaka wakati wa kuazimisha sikukuu ya kufufuka Yesu Kristo. Mwaka jana lilifanyika Daimond Jubilee mgeni rasmi akiwa rais wenu Jakaya Kikwete.

Msama ana kampuni ya Dira Medi Group ambayo ina magazeti ya Dira ya Mtanzania, Heka Heka (la michezo) na hilo Pata Habari (si Pata Pata Habari) na litakuwa linatoka kila siku.

Pia ana kampuni ya Auction Mart ya udalali wa madeni, ofisi zake zile pale jirani na viwanj vya Biafra.

Mmiliki wa Clouds FM, Joseph Kusaga ni rafiki mkubwa wa Msama, walikiwa wote wakati wanaanzisha disko la mawingu pale ukumbi wa Tazara, hivyo anapewa nafasi ya kutosha kutangza kazi za kampuni yake kama motisha ingawa kuna gharama analipia.

Need More?
 
Who is alex msama?

Wewe unamjua vizuri huyu jamaa?

Ni mtu wa kusaga,alianza na udalali wa nyumba kinondoni badae akajiingiza kwenye upromota wa wanamuziki wa kwaya ndipo alipokutana na joseph kusaga bosi wa clouds na deal nyingi wanafanya pamoja ila sijui kwenye hili gazeti kama wako wote pia.Ila kwenye udalali kuna wakati walikua pamoja na clouds wakawa wanaitangaza sana kampuni ya udalali wa nyumba an viwanja ya msama.
 
Back
Top Bottom