Tbc1 na habari nusunusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc1 na habari nusunusu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edward Teller, Feb 17, 2012.

 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Imekuwa tabia ya tbc1 kushindwa kurusha habari zao vizuri
  taarifa za habari za tbc1 imekuwa ni kawaida kuchanganya picha au kuchelewa kurusha picha au kuwa na interruption yoyoye ile pindi wanapokuwa wanarusha taarifa ya habari.
  Sijui tatizo gani linalowakuta ambalo sasa limeshawashinda kudhibiti,
  inaudhi wanazungumza habari hii,lakini picha inayoonyeshwa ni tofauti kabisa,au washindwe kabisa kuirusha.
  Hapo nilipo itv,star tv na nyingine spati,ila kwa mtindo huu,itanilazimu kwa hali na mali nipatye itv na star tv
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hasa ukute habari yenyewe inahusu CHADEMA!
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,753
  Trophy Points: 280
  umeona ee! Mi siangaliag tena hilo li tv
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hamia ZUKU!!!
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwenye habari wanachagua za kuonyesha,hata za chadema wanapick ya kuonyesha na pia inaweza ikaonyeshwa roborobo wakamalizia na "TUNAOMBA RADHI KWA MATATIZO YA KIUFUNDI"

  kuna ile habari ya wanaharaki waliotaka kwenda kwa mkulu wa nchi kwa maandamano-sijaiona tbc,
  nazan wanafanya censorship ya habari zao
   
 6. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Siku zote nasema MLIMANNI TV ELIMU KWANZA. Hawa jamaa hawana longolongo. Yaani sio itv star wala tbc
   
 7. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Toka aondoke Tido Mhando TBC ndo nayenyewe ikafa,kwa sasa hivi inatia kichefu chefu kuiangalia kwa jinc wanavyochakachua habari.
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hawachakachui sana flora wewe angalia tu.. Magamba habari zao zote ndio zinarushwa kule.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huku Sumbawanga naweza kupata huduma za hii zuku?
   
 10. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndo maelekezo labda ya mwenye kituo.
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Tido alishahama na TBC siku nyingi hiyo ilobaki ni tv msukule.
  nawashangaa mnaoangalia TBC huku mkijua hawana viwango zaidi ya kupendelea magamba.
   
 12. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wenzako tumehamia ITV muda mrefu sasa... Mpangilio wa TBC ni mzuri kuliko stesheni nyingine(juhudi za Tido),ila content ndiyo tatizo...

  Star TV ingekuwa na mtandao mpana,nayo ni nzuri kwani haiko bias.. Shida habari zao,70-80% ni za kanda ya ziwa..
   
Loading...