Nchi haiendeshwi na mtandao ila inaendeshwa na Washirikina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi haiendeshwi na mtandao ila inaendeshwa na Washirikina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Feb 18, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Salva Wa Ikulu anasema nchi haiendeshwi na mtandao wakati Jk kafungua facebook na kuendesha nchi.Pia wakati Shehe yahaya anatabili kuwa kuwa kuna mtu akichukuwa fomu kupambana na Kikwete atakufa,Salva huyohuyo alisema mawazo ya shehe yahaya yaheshimiwe,lakini leo great thinker wanatoa mawazo kupitia mtandao salva anayekumbatia ushirikina anapinga!
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hukuona hii post imeshaanzushwa tayari tangu 15th Feb?
   
Loading...