Tuongee asubuhi star tv live sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuongee asubuhi star tv live sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Feb 18, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  wadau leo ndugu yetu Yahya mohamed,hayupo ili kutuunganisha wana JF na kipindi moja kwa moja,kipindi kinaendelea .jicho letu ndani ya habari.
  Mojawapo wa wageni waalikwa ni Dk kitimbo wa SAUT,hoja ni upotevu wa mabilioni uliogunduliwa wizara ya maliasaili na kamati ya bunge hivi karibuni.
   
 2. B

  Buza Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wananchi tumelala sana. Hawa wananchi wanaodanganywa kwa pilau, fulana, kofia, pombe, kutegemea wataweza kuiadabisha serikali ni ndoto. Uozo upo kila mahali siyo maliasili tu. Watanzania tutoe tongotongo tusiwaachie wabunge, mawaziri, n.k. wafanye wanavyotaka.
   
 3. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kuna mchezo mwingine ulifanyika kienyeji na mpaka sasa bado haufuatiliwi,Bank ya Exim bank ilipewa zabuni ya ukusanyaji wa malipo yote ya fedha za kigeni zitokanazo na viingilio katika mbuga zetu za wanyama.
  Na hili lilifanyika wakati serikali ikiwa mpaka sasa haijatimiza ahadi ya kututajia mmiliki rasmi wa benki hiyo.kama ilvyoombwa na wabunge katika kikao kimojawapo cna bunge.
   
Loading...