hawa askari wa jiji ni kero!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa askari wa jiji ni kero!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rukiko, Feb 17, 2012.

 1. R

  Rukiko Senior Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ninakerwa na hawa askari wa jiji hasa wanapoendelea kuwasumbua wananchi hasa wenye magari hapa Dar.
  wanakamata magari na kuyapeleka kwenye yard zao kwa kisingizio kuwa umepaki pasiporuhusiwa; wakati sehemu wanayosema hairuhusiwi haionyeshi "NO PARKING". mfano mzuri ni wale akina dada wa sinza waliokuwa wanakula kwenye mgahawa wanapofuatilia gari lao wanishia kudhalilishwa na kupigwa na kupoteza mali zao.kesi kama hizi zipo nyingi tu katika maeneo ya jiji la Dar.
  swali langu: kwa nini serikali haidhibiti hali hii ambayo muda inaonekana kukuza uvunjifu wa amani?ani aliyewaajiri hawa?je hawa ni askari au wezi wa mali na wapokea rushwa?takukuru haioni haya?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  nchi hii................
   
 3. n

  namimih Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa ni wahuni tena naongezea wahuni sana, ukipita pale mtaa wa kongo utakuta mara wanawakamata wale wamachinga halafu wakipokea posho au kwa jina zuri hongo wanawaachia, sasa kwanini wamepewa nguvu ya kuwasumbua wananchi wasikini wanaojitafutia riziki kwa jasho lao, sisemi kuwa hao wamachinga wanafanya vizuri kupanga nguo barabarani, lakini inaonekana hakuna nia ya dhati ya kuwahamisha hao jamaa hapo kwani ni miaka imepita kunapigwa kelele za kuzuia wamachinga lakini mpaka leo bado wapo na inaonekana imekuwa ni kama mradi wa watu fulani hapo manispaa na ndiyo maana hao Askari wa jiji wana uwezo wa kufanya watakavyo. nchi inamalizwa kila kona, pole Tanzania.
   
Loading...