Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kitendo cha mwanamuziki Nicki Minaj siku ya tuzo za Grammy, kuingia akiwa na ameambatana na mtu aliyeigiza kama Papa, Mkuu wa Kanisa Katoliki kinaendelea kuzua mjadala kila uchao. Uongozi wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nasikiliza itv watakuwa na kipindi jumatatu wakihojiaana na waziri wa viwanda na biashara mh chami..kwenye marudio..katika maelezo yake anaeleza mbinu zinazofanya serikali ya kikwete kuimarika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umewahi ona wapi, mahali gani na katika ukumbi gami WIMBO WA TAIFA UNAPIGWA DISCO?
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Taifa limepoteza uelekea,limekufa kiuchumi,kitamaduni na kisiasa pia , wanasiasa wanatawala kila sehemu bila ya kujali ni za kitaaluma na si za kisiasa.Siasa imeleta utumwa na kusababisha wizi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BBC imetangaza kuwa Raisi wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ataongoza tume ya kuchunguza utajiri wa Afrika hasa madini ambao umepotelea ughaibuni(Ulaya na Amerika) tume hiyo haina kiongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi nini maana ya kupandisha nauli ya kivuko? Mimi leo nipo kwenye foleni tangu 5:45 asubuhi mpk muda huu wa saa 8:00 hata pakukatia ticket sijafika. Foleni haisogei kabisa, watu wanapita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofa ya ngono inatolea bureee ktk club za usiku zilizoko maeneo ya Kanyama, Kanchembe na Chine ambapo walikutwa watu kama 200 hivi wakiwa wamepanga foleni kusubiri kupata ofa hiyo. Malaya mmoja...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
FAMILIA ya Rais Jakaya Kikwete imekana kuwa na nasaba na aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilayani Simanjiro, Alhaj Omar Yufus Kariaki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JK alishuka KIA juzi jioni, mara baada ya kushiriki uchangiaji wa hospitali ya ccbrt huko Dar. Alipitiliza kwenda Ngurdoto, akalala huko...Ngurdoto iko Maji-ya-Chai, eneo la nje kabisa ya Mji wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kioja cha mwaka kimetoke nchi jirani, Kenya, ambapo Gazeti la Daily nation limenukuliwa likiripoti kuwa, Nyoka aliyekuwa anafugwa na mwanakijiji mmoja huko kaskazini mwa Kenya, alifanya tukio la...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF, je unamtambua Mh. Lowasa kama kiongozi wa aina gani? Hii itasaidia hawa viongozi kujijua kupitia mitandao ya kijamii na sio kupitia takwimu na ripoti za kupika..Funguka.
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama mtu hufungwa gerezani kwa kupinga uonevu, unyang'anyi, ukandamizaji, ujambazi, unyanyasaji, na u-puppetism basi gerezani ni mahali pazuri pa kuishi. Soma habari kamili kutoka kwa mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gwanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CDM ) nitazipata wapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WIMBI la matapeli wanaotumia nyaraka za serikali kwa lengo la kuwapandisha vyeo bandia maofisa elimu kwa ngazi za maofisa vifaa na takwimu na maofisa taaluma limeikumba Wizara ya Elimu na Mafunzo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hivi kwanini startv haiaki kuanzisha kipindi cha mjadala kuhusu kufutwa matokeo ya kidato cha 4 2011 . kipindi hiki kinaweza kuweka mambo sawa hasa kwa huyu mama ambae ameonekana hana tena huruma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KASHIFA YA NGONA IMEGONGA VICHWA VYA HABARI KATIKA JIMBO MOJAWAPO LA CCM LINALO SHIKILIWA NA NAIBU WAZIRI WA WIZARA MOJA NYETI BAADA YA NAIBU WAZIRI HUYO KUMPA MIMBA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI NA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Elius Msuya KANISA moja huko Mlandizi, wilayani Bagamoyo, Pwani, limeingia katika kashfa ya kuwatapeli mamilioni ya fedha waumini wake kwa kisingizio cha kuziombea fedha ili kuondoa mikosi kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hivi karibuni nilihadithiwa kisa cha mbeba box mmoja alieenda ng'ambo hivi karibuni.mbeba box huyu wa kike ni graduate kutoka katika vyuo vyetu vya private na mara baada ya kumaliza masomo alisota...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NINAWATAFUTA JAMAA ZANGU WOTE WA BOX2 AMA SONGEA BOYS HUSUSANI WOTE TULOSOMA PALE KATI YA 1988-91 na wengine wa miaka mingine nikiamini uzawa wa vizazi na vizazi vya box2...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…