Yafuatayo ni majimbo ambayo ni vigumu sana CHADEMA kushinda 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yafuatayo ni majimbo ambayo ni vigumu sana CHADEMA kushinda 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MNYISANZU, Feb 20, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Majimbo ya mikoa ya Lindi na Mtwara. Unaweza ukataja mengine....
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Elimu ya uraia bado ni duni sana ktk mikoa hiyo na pia mwamko!
   
 3. m

  mchambakwao Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dar es Salaam je? Imejaa wasomi lakini elimu ya uraia sufuri,hawajui kujikomboa
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Huo ni mtazamo wako,cdm wamechukua ubungo,kawe ndio washindwe huko?
   
 5. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nani kakudanganya kuwa dar imejaa wasomi? au ndo ule usemi wa "mjini shule" dar ndo inaongoza kwa wasiojua kusoma na kuandika.
   
 6. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Taratibu mkuu kwani ikifanikiwa kuchukua majimbo yote isipokuwa Lindi na Mtwara bado CCM itakuwa imebaki historia. Tuchukulie Lindi na Mtwara ni CUF na kwingine CHADEMA je hapo CCM itakuwa wapi?
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Majimbo yote ya Pemba na Ugunja (hard fact)
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Majimbo ya Dodoma kama BAHI
   
 9. M

  Makupa JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Zanzibar, Tabora,Songea na Dodoma
   
 10. n

  nicksemu Senior Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapiga kura wa jimbo la mtera anakotoka kibajaji -lusinde wanajua kusoma na kuandika kweli? Nina mashaka
   
 11. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Tanga na majibo yake
   
 12. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,145
  Likes Received: 1,238
  Trophy Points: 280
  JF bhana, siku hizi imekuwa kijiwe cha udaku.
   
 13. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mikoa yenye mtaji mkubwa wa CCM ambao ni Umaskini, ujinga, maradhi, nk.
   
 14. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bora umeongea lakini bila kujipanga ccm haitoki. Wapinzani haswa Cuf na cdm wakijipanga ccm inaondoka kuna majimbo kama ya dsm temeke, kinondoni ukifanyika mpango mzuri yanaondoka, kuna majimbo ukijumlisha kura za upinzani ni juu kuliko ccm
   
 15. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  We elimu ya uraia unaona mafanikio yake ni watu kuwa wanachama au wafuasi wa Chadema? We wa wapi wewe?!

  Lindi na Mtwara,ni ngome ya CUF.. Ukiona mahali CCM imeshinda,ujue ni kwa mabomu ya machozi,na raia wengi kuwekwa ndani.. (rejea jimbo la Tandahimba-2010)

  Sasa wewe badala ya kufikiria jimbo la Kisarawe kwa mfano,jimbo haliko mbali na mji,lakini ni chovu,na hajawahi kushinda mpinzani pale.. Unaongelea Lindi na Mtwara..

  Au ile mentality kuwa Mtwara na Lindi ni mbali na Dar? Wakati uhalisia ni Mtwara-Lindi ni roughly 100kms,na Lindi-Dar ni hardly 450kms!

  Fanya research yako taratibu na umakini..utakuja na kitu bora zaidi ya hicho hapo juu..
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuuu hongera kwa kujitokeza live bwana kumbe umo humu bana!
  mimi bado najificha bwana!
   
 17. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndiyo kakuomba umtajie..
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Dar ipi iliyojaa wasomi? Tafuta statistics za literacy rate kwa Dar ujionee ni kiasi in percentage ya wakazi wa Dar ni illiterate!
   
 19. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  huku kuna mafisadi na watoto wa mafisadi na wapambe wao wengi. Wakiitoa ccm watashindwa kuishi mjini. Pia kuna wanaoamini siasa ni udini wengi na wengi wao hawana shule.
   
 20. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kujikombo sio lazima kuichagua Chadema Ktk Kila Jimbo bali nikuchagua kiongozi bora bila kujari ametoka chama gani?
   
Loading...