Tanzania drc congo na angola ndiyo pekee zinalingana kwa utajiri africa kusini mwa eq

KALABASH

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
493
206
Dr Hassy Kitine msomi na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa taifa UWT/TISS akizungumzia ushirikiano wa kikanda katika kipindi cha majadiliano TBC aliwahi kusema kuna nchi tatu tu katika afrika kusini mwa Equator ambazo zinalingana kwa utajiri wa rasilimali nazo ni DRC CONGO ANGOLA NA TANZANIA. Nchi hizi zina kila aina ya utajiri wa rasilimali( (natural resources) iwe ardhi madini maji misitu mafuta gesi asilia samaki etc etc. Akaendelea kusema ushirikiano kati ya nchi hizi tatu utakuwa wa usawa (equal patnership) hakuna atakayekuwa anachungulia kufaidi kwa mwenzake. Tunaoshirikiana nao kwa sasa hivi (EAC) hawana utajiri huo na wamekaa mkao wa fisi anayesuburi mkono(wa mtanzania)udondoke auokote. Haya si maneno yangu ni ya Dr Hassy Kitine. Kwenu waTanzania mlio humu jamvini.
 
Dr Hassy Kitine msomi na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa taifa UWT/TISS akizungumzia ushirikiano wa kikanda katika kipindi cha majadiliano TBC aliwahi kusema kuna nchi tatu tu katika afrika kusini mwa Equator ambazo zinalingana kwa utajiri wa rasilimali nazo ni DRC CONGO ANGOLA NA TANZANIA. Nchi hizi zina kila aina ya utajiri wa rasilimali( (natural resources) iwe ardhi madini maji misitu mafuta gesi asilia samaki etc etc. Akaendelea kusema ushirikiano kati ya nchi hizi tatu utakuwa wa usawa (equal patnership) hakuna atakayekuwa anachungulia kufaidi kwa mwenzake. Tunaoshirikiana nao kwa sasa hivi (EAC) hawana utajiri nuo na wamekaa mkao wa fisi anayesuburi mkono(wa mtanzania)udondoke auokote. Haya si maneno yangu ni ya Dr Hassy Kitine. Kwenu waTanzania mlio humu jamvini.

ndugu zanguni thread km hz tusiwe tunaanzisha coz zinatupa machungu ndani ya mioyo yetu! hasa tukifikiria umaskini tulionao,ufisadi uliopo na rasilimali tulizonazo.. Inatia hasira sana!
 
This is true, ila kwa sasa zote tatu hazina strong trade teams... Bora Angola kidogo, wanajaribu kujitegemea ila gap kati ya very poor na very rich ni kubwa mno, kiasi kwamba mali ya nchi inawafaidi only the rich ones. DRC bado kabisaaaaaaa, hata serikali ni kama hawana. TZ ndio hivo tena, in between the two...
 
Back
Top Bottom