Risasi Mwaulanga kupita kila Wizara Kuipigia Debe ATCL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Risasi Mwaulanga kupita kila Wizara Kuipigia Debe ATCL

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inanambo, Feb 8, 2012.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  jana katika kipindi cha EA RADIO cha Super Mix nilimsikia Risasi Mwaulanga akitangaza kutembelea kila wizara ya serikali kuhamasisha watanzania kutumia ndege za ATCL kwa usafiri wa ndani na nje ya nchi. kipindi kilikuwa kinaishia sikuelewa kama huyu Mkaka amegeuka kuwa mpiga debe wa ndege badala ya CCM. Namuona kama opportunist fulani hivi.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Tatizo la kukimbia shule linamsumbua...
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  bodi ya atcl kuteuliwa hivi karibuni habari zaidi zinasema mhusika hapo juu ni mmoja wa wanaolobby kuingizwa kwenye mchakato huo
   
 4. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Risasi ni opportunist, anafulukuta ili apate angalau cha kula,
  Nilifahamiana nae kwa mara ya kwanza Arusha wakati wa mkutano wa Sullivan 2008.
   
 5. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwa faida yako na watanzania wengine wenye upeo kama wako mnapaswa kufahamu
  wajibu mkubwa wa kizalendo mlionao katika jamii yetu ili kuleta TANZANIA iliyobora
  kiuchumi tunapaswa kutumia bidhaa za ndani na huduma zitolewazo na mashirika ya umma. mf; ATCL ,TTCL na mengineyo (tujifunze kuwa wazalendo) TUNAJENGA NYUMBA HAINA HAJA YA KUGOMBEA FITO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  risasi ana upeo mdogo sana.sio wa kumjadili hapa.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  alikuwa anafanya marketing?
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Anasumbuliwa na njaa basi, hana tija!!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Huyu dogo si alisema anataka kutembea kutoka dar mpaka moro akishilikiana na zitto kabwe kuwaamasisha vijana walime,vp alifanikiwa? Haya tena anataka kupita kwenye wizara kuipa promo atcl,haya nasikia Tena ni balozi wa amani,sasa nashindwa kumuelewa huyu dogo kajikita wapi,juzi juzi kaojiwa na mlimani tv atoe maoni kuhusu valentine day akasema kwamba siku hii ya leo(valentine) yani kuna maambukizo mapya zaidi ya 80% sasa sijamuelewa alimaanisha nini ukimchek shingoni kabiga mnyororo wa silver.

  Sasa huyu jamaa ni nani hasa activist,marketing manager au nani?
   
 10. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  harakati zake mbalimbali ndo zinamfanya ajadiliwe!ni kijana mwenye uthubutu na watu kama nyie katu hamuwezi kumkatisha tamaa.....big up risasi mwaulanga balozi wa amani africa!!!!!
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Far right........under CCM colors

  [​IMG]
   
Loading...