wanawake wa tanzania huku tukiendelea na maadhimisho yetu
tukumbuke kuwa tupo na wanaume legelege kabisa.kwa iyo maisha yetu na ukombozi wa maisha yetu yapo mikononi mwetu wenyewe.hawa wenzetu...
Kwa siku ya leo ya Wanawake duniani,kama kuna kitu masikio ya wanawake
wa Tanzania tungetamani kukisikia ni kuwa Dr. Lucy Nkya amejiuzuru u-naibu
waziri,ili kuokoa maisha ya wanawake wenzio na...
Nimeshangazwa sana na hii televisheni eti ya Taifa, ITV wanaripoti updates za mgomo wa madaktari yenyewe inaendelea na mambo yake kama vile hakuna lolote linaloendelea la hatari nchini. Hii tv vp...
Naomba kuuliza swali makamanda wenzangu.
Arusha hivi tunavyoongea kuna FFU wa kumwaga kutoka huko walikotoka,sasa swali linakuja hapa,ni upendo wa serikali kutuongezea ulinzi cause labda kuna...
Serikali kupitia Waziri wetu mkuu Bwana Mizengo Pinda inasema imejipanga vyema kuhudumia jamii katika mgomo wa madaktari,hivi mwanzoni mbona watu walipoteza maisha ina maana mlikuwa hamja jipanga...
A mum is a small portion of God's love in action, A mum is a bank where her children deposit all their worries n hurt, A mum is the cement that keeps her family together n her love lasts a...
:flypig:Nimesikia na kusoma kwenye news inasemekana mzee wa kimasai aliondoka nchini kimya kimya kwenda ugaibuni kwaajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua, japokuwa haikuwekwa wazi ni nini...
Na Mwema Vedasto
IMANI ni fumbo kubwa ambalo limemzunguka mwanadamu tangu mwanzo wa historia yake. Watu wanatafuta majibu ya maswali yasiyoelezeka kisayansi, watu wanautazama ulimwengu...
Kuna wakati tulijadili hapa kwamba serikali imefilisika, ukweli au si ukweli si hoja, lakini huwezi kuamini mimi ni mfanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 6 mshahara haujaingia. Serikali ya JK...
Clouds media wametangaza nafasi ya kazi kwa mtangazaji wa kike wa michezo
mode of application- personal visit to their offices leo.mchujo na mshindi ni leoleo..haya wadada changamkieni...
Nadhani wengi mmeona facebook za mgomo wa madaktari na twitter zinavyovyurumushwa kila sekunde
hivi kwa serikali ambayo bado inategemea kutoa habari kupitia michuzi blog na gazeti la uhuru...
Wakuu,
Wenye data za huyu 'daktari' wamwage maana sijui kama ni mzima au anataka kumtapeli JK kama Nshomile Rweyemamu ili apewe ulaji. Hivi kama kweli huyu amesoma hajui hata haki za wanataaluma...
Wanajamiiforums wenzangu jana nilimsikia waziri mkuu akisema kuwa madaktari wakigoma watakuwa wamevunja miiko ya kazi yao. Inaonyesha kuwa serikali haijakubaliana na madai ya hawa watu na...
Sote tunakubaliana kuwa madaktari wanayo madai ya msingi wanayotaka serikali iwatekelezee, ila kinachoanza kijikita sasa katika fikira zetu ni namna ya kudai haki zao na uhalali wa kila njia...
sijawahi kuona matokeo ya kushangaza ya mtihani wa taifa yakitolowa kama ilivyotokea haya ya 2011 hapa Tanzania ,nimetembelea nchi nyingi na pia kusikiliza vyombo vingi vya habari vya...
Serikali ilionekana kuridhia kirahisi sana mapendekzo ya waheshimiwa kuongezewa posho pale mjengoni. Bila shaka waheshimiwa walifanya hivyo wakiamini hakuna atayeleta 'zengwe' pengine wakiamini...
to be honest hakuna jambo linaliniudhi kama hili jambo linalopigiwa debe kuliko hata maendeleo "GENDER BALANCE" unakuta katika nafasi za uongozi ati lazma nafasi ijazwe na mwananmke tu( yale yale...