PENDEKEZO: JINA LA Julius Nyerere International Airport LIFUTWE

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Baada ya kugundurika kuwa Julius Nyerere aliuwa na Njama zilizofanywa na Rais Mstaafu Mpaka
napendekeze Jina la uwanja wa Ndege ubadilishwe jina maana hii inaongeza maumivu kwa watanzania.

Huu ni unafiki mkubwa watu wanamuuwa then wanasema eti wanamuenzi mwalimu nyerere

images
 
Kwenye siasa kuna mengi watu wanasema ili mradi wasikike. Ila kama ingekuwa tunalipia bili kama luku kwa ajili ya kuongea nina uhakika aliyesema maneno hayo asingethubutu
 
hii nayo mpya, alikuwa na sababu gan za kumuua nyerere?

A comprehensive privatization program of parastatals was announced in May 1993. Ultimately more than 400 loss-making companies were put up for sale. Privatization has recently gained momentum, with about half the commercial parastatal entities removed from government control. Particularly important progress has been made in the banking sector, as the sales agreement for the National Bank of Commerce was signed in March 2000. There are about 165 remaining units for either divestiture or liquidation covering some PE s in the producive sectors(agriculture, industry and trade) as well as major PEs in the infrastructure and utilities. Since the re-examination of the modalities of privatization by PSRC, one of the large parastatal monopolies, the container terminal of the Tanzania Harbour Authority, has been removed from government control through a ten-year lease agreement (signed in May 2000). With regard to the Tanzania Telecommunications Corporation Ltd. (TTCL), six entrants completed the due diligence process, out of which three submitted bids in May. That privatization transaction closed in February 2001 with the selection of the winning bidder, a consortium of Detecom (Germany) and MSI (Netherlands).
 
Back
Top Bottom