Moshi Mjini ni laana au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moshi Mjini ni laana au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chali wa Moshi, Mar 13, 2012.

 1. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia.

  Sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.

  Tafadhali naomba kuwasilisha.
   
 2. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzazi,uongozi mmewapa wahuni wasio nataa nyumbani kwao sasa unatarajia nini si kila mtu wa CDM anafaa
   
 3. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe uko njiani kwenda Arumeru kusaidia ujambazi wa kura za magamba wewe moshi mwaka mmoja umekaa lini kilaza original!!
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  waache kukimbizana na wavuta fegi,wakwangua vocha, watema mate na kujikusanyia elfu hamsini hamsini wakuwekee taa?
   
 5. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Tuliwapa CCM wakachukua viwanja vyote vya manispaa wakavibinafsha vikawa vya CCM, vile vile wakachukua majengo ya manispaa wakabinafsha. so who to trust??
   
 6. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Tatizo ni kwamba kila kitu Tanzania kinatoka nje mpaka watangaze tenda na nani ni mfumo sio Chadema. Lakini angalia mambo mengine je kuna mji gani Tanzania unazidi Moshi kwenye usafi hata barabara!

   
 7. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wee chali wa moshi ni changamoto nzuri umeileta kwa viongozi wa manispaa ya Moshi, Lakini je umeshawahi kutembelea na manispaa nyingine hapa nchi? Kwa nimewahihi kufanya hivyo, Na ninakuhakikishia kwa asimia 100 manispaa ya Moshi is one of the best in Tanzania.
  Na je unavyosema tulipambana au kupigana, ulipambana na nani? Nadhani hata Moshi huijui Chalii angu?
  Moshi ni zaidi ya uijuavyo kaka....Wasalimie kwa Majengo kwa Mtei
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hauijui moshi wewe, tuachie mji wetu msafi na uliopangika kuliko miji yote TZ, Muda si mrefu moshi imeshakubaliwa na itakuwa jiji

  wewe piga porojo tuuu wala hutanufaika na chochote
   
 9. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mwongo sana, mbona taa zinawaka? Au unasemea moshi ipi ndg!
   
 10. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Kastarehe; labda nikujuze tuu mimi sina chama chochote na wala sitafanya ivo hata sikumoja. mimi nimpenda maendeleo na vilevile mabadiliko, kwataarifa yako tuu uchaguzi uliopita nilimpigia ndesamburo(CHADEMA) kura, hii ni kwasababu napenda mabadiliko na maendeleo ndani ya mji wetu. so kuniita sijui kilaza your wrong.

  mimi napenda sera za chadema lakini we should like critics pia.
   
 11. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa Chalii unafananisha fisadi na muadilifu hapo, mbona unajichanganya? Au unataka kuwarudishia hao waizi wakunyang'anye na kiwamba chako aisee
   
 12. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama serikali haina hela unataka watumie hela zao za mfukoni?
   
 13. D

  DOMA JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mbona moshi inaheshima yake ukilinganisha na pwani,tanga,lindi, mtwara,rukwa,dodoma,tabora ambaya magamba ndio viongozi
   
 14. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  The way ilivyo hii post yako na uliyvoiwakilisha kama vle umetumwa na ukakubali kutumika..
   
 15. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Ngoiva, acha kudanganya watu wa jamvini. ukitoka kipleft cha mwenge ukiwa unashuka na barabara ya mahakamani kupita manispaa nigiza tupu.

  haya barabara yakutoka manispaa inaingia hapa parkview hotel mpaka stendi giza balaa.


  sasa wewe ndonikuulize uko moshi gani?
   
 16. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Kweli ww chalii huijui moshi vizuri, muda si mrefu moshi inakuwa jiji, bonite maili sita mabogini shabaha kote watu walishaambiwa wapime viwanja hakutakiwa mashamba tena. tuachie mji wetu acha porojo
   
 17. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nyumbani kwenu umeme mliweka lini? Acha ujinga wewe..mimi nimezaliwa moshi na nipo siku zote....Waziri wa nishati gamba, mgao wameleta wao...zalisha umeme wa mavi ujingarishie nao mitaa.
   
 18. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani hapa ninapoandikia ni barabarani kabisa. Taa zinawaka acha uzushi. Pita upinde street man uone. Uko njoro nini? Acha uzushi wewe
   
 19. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  ndio lakini lazima ujue moshi ni mji wakitalii Man.
   
 20. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Haziwaki tangia lini? hembu nipe jibu isije ikawa ni ushamba wako umeme umekatika unataka taa za barabarani ziwake,
   
Loading...