Airtel, kwani siku ina masaa mangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel, kwani siku ina masaa mangapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Mar 10, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nimenunu ile bundle ya sh. 3000 kwa siku na nikapewa MB300 kwa siku nzima. Nimenunu saa moja jioni na kutumia usiku hadi saa tano nikacheki balance bado kulikuwa na MB120. Sasa nimeamka asubuhi ku-connect kitu kinakataa ati sina salio. Kwa nijuavyo mimi siku ina saa 24. Leo nimenunua tena asubuhi nataka nione kitaishia wapi.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  internet yao yenyewe ipo slow kama konokono
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  na hata hiyo ya 400mb waliyoturudishia wanaikula balaa....sijui ndio kutukomesha...?....!!
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kumbe siku ya airtel ina saa 10 tu, kama hujamlizia bundle unakuta imeisha........
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Teh teh teh...
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Mhhh mie nagonga tigo bureeee nakama mwezi wa tatu now hata line ikiwa haina salio mi nabamiza tu.
  Nataka nione mwishowake itakuwaje??
   
Loading...