Wapi naweza kupata madirisha/milango ya PVC?

cheki pale kinondoni soko la maTX jirani na Barclays na pia morocco ABC jirani na SSRA ama mbezi beach mitaa ya tangi bovu kwa Mathayo Pub
 
kama uko dar maduka yamejaa tele kila kona ww upo nchi gani?
anzia kariakoo mwenge,kimara mbezi kote huko hujaona au unamaanisha kiwanda labda?
 
Agiza china mkuu yaliyotengenezwa kwa ubora zaidi na bei ni poa zaidi kuliko za wabongo.
 
Agiza china mkuu yaliyotengenezwa kwa ubora zaidi na bei ni poa zaidi kuliko za wabongo.

kwani huko china anatengeneza mungu??
Acha ufinyu,upofu na mawazo mgando jiamin na chako bana.
Unajua hao china material wanapata wapiiii??
 
Wapi naweza kupata madirisha/milango ya PVC?

kama uko serious ni PM,huwezi pata ready made kwani yanatengenezwa kwa vipimo vya nyumba husika,kama nyumba ipo dar vijana wanakuja wanapima then unatengenezewa mkuu
 
Agiza china mkuu yaliyotengenezwa kwa ubora zaidi na bei ni poa zaidi kuliko za wabongo.
Tundapori, Nakuunga mkono, hapa wanauza $ 100 per Sq. Meter, China is only $ 20 FOB ili kupata CIF unaongeza usafiri na bado ni cheap, well done na ubora wa hali ya juu.

Nilichukua kipeperushi pale Mbezi Shamo House nikachukua kingine pale mbele ya Makonde nikauliza kama ni kampuni moja, wakasema hapana ila picha kwenye vipeperushi vyao wanadai wametengeza wao zinafanana!. Nilipokuja seach kwenye net nikaziona nyumba hizo hizo nikachoka!.

Jina lako, Kama una haraka tumia hawa locals ila waombe wakuonyeshe nyumba physically usije ingizwa chaka!.
 
Back
Top Bottom