Tatizo la Taasisi za SErikali ni kwamba huwa wanaanzisha utaratibu kisha utekelezaji wake ni muda mrefu. Leo wanatangaza Deadline lakini utashangaa hili ni zoezi ambalo ni kubwa sana. sidhani kama wanaweza kuwafikia watreja wote kwa kipindi kifupi hiki,
mfano kulikuwa na utaratibu wa kubadilisha Leseni za kuendesha magari (driving License) wakatoa na deadline, lakini mwisho zoezi likawa nigumu hivyo wakabadilisha utaratibu.
Mfano mwingine kulikuwa na zoezi la kusajili namba za Simu, wakatupelekesha mbio na deadline zao, mwisho imekuwa kimya, leo unaweza kununua line mpya na ukaitumia upendavyo pasipo kusajili.
HIVYO SERIKALI HUWA INAKUJA NA MAMBO YA ZIMAMOTO TU.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!