Naomba muongozo wanajf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba muongozo wanajf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by makurunza senior, Mar 14, 2012.

 1. m

  makurunza senior New Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajf nawaombeni muongozo kwa hili
  kuna meneja wa nmb bank tawi la hai ambaye ni mwnamke amekuwa na mahusiano na mume wa mmoja wa wafanyakazi katika bank hiyo ambao wanakaa katika ghorofa za jengo la nmb bank HAI kwa muda mrefu bila mwenye mume kujua.
  sasa usiku wa tar 06-03-2012 huyo mwanamume akiwa anatoka katika mizunguko yake alipofika katika jengo hilo( ambalo ndipo nyumbani kwake na ndipo huyu meneja anakaa)meneja alimfungulia geti na kumwingiza huyu mwanamume nyumbani kwake na kuendelea na kazi yao kama ilivyo kawaida, lakini kama wasemavyo wahenga ZA MWIZI NI AROBAINI kumbe wakati huyu mwanamume anapaki gari lake chini ya jengo hilo mke wake alisikia. baada ya muda fulani huyu mama alitoka nje kutaka kujua mume wake ameelekea wapi tena huku gari likiwa limepaki hapo, aliwauliza maaskari waliokuwa zamu kuwa mume wangu ameelekea wapi, wakamjibu mbona amepanda huko juu(Ghorofani).
  mama huyu kwa msaada wa askari hao alienda kugonga kwa meneja wake ndipo alipomkuta mume wake akiwa na taulo na meneja amevaa khanga moja, varangati likaanza na meneja akafanikiwa kumng'ata sikio staff wake. on the way huyu mama akaripoti kesi hii kwa zonal manager wake, lakini cha ajabu zonal manager akamtuma hr amuombe huyu mama aliyeibiwa mume na kuumizwa kuwa hilo suala walimalize tu kwa maslahi ya kazi zao.
  nauliza hivi:
  1.je hii ni haki kwa huyu mama muathirika
  2.maamuzi ya huyu zonal manager ni sahihi
  3.sheria taratibu na kanuni zinasemaje katika hili
  NB HILI NI TUKIO LA KWELI WENYE INTEREST ZAIDI WAWEZA KUFUATILIA KWA UNDANI ZAIDI.
  NAWASILISHA
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwa msaada wa kisheria omba mods wahamishe thread jukwaa la sheria.
   
 3. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  nini maana ya mchanganyiko na wewe nani ana muda na sheria hapo akuna kesi
  ndio maana wameambiwa wamalizane na wewe usemi wamemalizaanaje ama unataka kusikia umbea wa jf yatakukta hata wewe haya mambo
   
Loading...