Ajali hizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali hizi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, Mar 13, 2012.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huwa kuna nyakati nasahau kakamera kangu ka mchina! So Msiniulize picha! Ila hizi ajali we acha tu!
  Leo asubuhi maeneo ya Kibosho road Landcruiser DFP uso kwa uso na pick up hilux. Taarifa zinasema kuwa wale wa kwenye hilux hata maji hawakuomba. Gari imekunywa na kuwa kama karai la zege.
  Maeneo ni pale ilipotokea ajali ya lile bus la Lim miezi kadhaa iliyopita. Watu wameanza kuunganisha dots. Ajali nyingi sana hutokea sehemu hiyo ni kwa nini? Kuna mchungaji mmoja aliwahi kufia hapo na familia yake.
  POleni sana waliojeruhiwa na Mungu awape afya mapema. Wale walopoteza ndugu zao kwa ajali hii Mungu awape ujasiri wa kuvumilia msiba huu.
   
 2. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jaman,may their souls r.i.p...but most of times shetani@work!
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani we acha tu. Eneo hilo limekuwa na ajali nyingi sana na zina utata mtupu.
   
 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Chanzo chahabari kinasema kuwa aliyefariki ni Mtoto wa Mtei (wanamshirikisha Edwin Mtei wa chadema) Sina uhakika sana ila ntawajuza. Aliyekuwa na marehemu amevunjika miguu yote 2 na yule dereva wa landcruiser kuna chuma kimemwingia shingoni so hali yake naye ni tete.
   
 5. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mara nyng ajal za barabaran,cyo zote ni ajal kama tunavozichukulia,nyng ni planned
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mchungaji Kabora, naikumbuka sana hii ajali.

  Lile eneo ni hatari sana hasa Dereva asipokuwa makini. Tuwaombee majeruhi wapone haraka. Marehemu wote walale mahai pema Peponi.
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni Mtei wa Sterio, na walikuwa wanaenda kwenye mazishi Moshi.....
   
 8. L

  Laptani Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna habari kuwa yule dereva nae kafariki dunia, Mungu awalaze mahali pema peponi marafiki zetu Henry na Aaron Mtei.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  tuzidi kumuomba mungu tusichoke
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  pasaka hiyooooo
   
Loading...