Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku za hivi karibu kumeibuka wizi na ujambazi katika jiji la Mwanza, hali hii imekuwa sugu maeneo ya Malimbe Nyegezi, Kitangiri,Kilimahewa na sehemu mbalimbali za jiji. Yameripotiwa matukio mengi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli Dotto Kahindi(Gazeti Mwananchi) OPERESHENI ya kusafisha jiji la Dar es iliyotangazwa na Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli imeshika kasi baada ya tingatinga...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Mimi nilikuwa mmojawapo wa wale ambao walikuwa hawajawasilisha taarifa zao benki, hivyo hatua ya beki kuongeza muda wa kupeleka taarifa hizo imenirahisishia kazi hiyo, sasa nina uhakika wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Amesema kwa kinywa chake leo hii (kupitia TV) amesema mwenyewe kuwa, “.......Sina Cholesterol......, niko tayari kwa mapambano......” Ina maana amepimwa na majibu yake ni: OE: Total...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajamvi, nisaidieni. Bongo ni wapi, mbongo ni nani na ana tofauti gani na mTz? Asante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbwembwe za Airtel ni uzuri wa mkakasi kumbe ndani kipande cha mti. Matangazo kibao, mara mpitishe mibasi myekundu ns kuwashawishi watu wahamie kwenu. Upompo mtupu. Mnahangaikia nini kumbe ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana-JF na waTanzania wote wenye mapenzi mema. Mimi naona swala la kupiga kelele haitoshi. Kila mtu anaathirika na ufisadi kwa njia moja au nyingine. Hawa mafisadi wanatufanya tushindwe...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi sakata lao limeishia wapi? Au ndo msamaha wa Baba Mwanaasha umepita?:cool2:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, kama kuna kipindi kiliwaha kunivutia TBC1 basi ni ile tamthilia ya kichina ambayo ilitafsiriwa kwa kiswahili Moudoudo na Wakwe zake, kwakweli ilinivutia na nilikuwa naifuatilia...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Nawasalimu wana jf wote, naombeni updates kuhusu major reshuffle immigration aliyoahidi mh waziri Nahodha je imeshafanyika? If so je kuna mabadiliko yoyote ktk idara hiyo nyeti. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Nimejiuliza mengi kuhusiana na hizo fedha zinazorejeshwa serikalini bila kupata jibu la matumizi yake. Je hizi fedha zinatumika kwa shughuli gani au kwa manufaa ya nani? Isije ikawa zinaingia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hebu niambieni nyie TBC, matangazo yenu ya habari ya saa mbili usiku huwa ni nini hasa, documentary, makala, tahariri, majaribio au nini, Jana nilikuwa naangalia matangazo hayo ambayo wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba msaada wa wataalam wa picha na TV. Kuna kitu kwenye picha kinaitwa "aspect ratio", hii ni ratio ya urefu na upana wa picha ili picha ionekane katika uhalisia wake.Katika TV za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Wadau naomba kujuzwa ni wapi naweza pata bendera za CDM kama tano hivi zile kubwa tunataka kufunga kwenye vijitawi vyetu kwani bendera za magamba zinatukera sanaaaaa. Bendera hizo ni kwaajiri...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
When talking about the pace of life in China, there’s only one word: fast. We have the fastest trains, the fastest runners and newest skyscrapers. None of this though beats the recent Youtube...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
salaam DCI, Pole kwa home work ngumu uliyonayo ya kututafutia uliko ipata ile ripoti yako ya ndugu yetu Dk. Mwakyembe. Napenda ujue kuwa hatuja sahau na nakushauri usisubiri kuumbuliwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa humu JF ninaomba msaada wa kuweka kifurushi cha mwezi kwenye moderm ya airtel maana zamani ulikuwa unatuma neno intaneti na unajibiwaujibu ndio na ukikubali unaunganishwa kwa shilingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyekaribishwa Ikulu ampa JK sharti la kupanda mlima Send to a friend Wednesday, 14 March 2012 19:13 0diggsdigg Salum Maige,Geita SAKATA la muhubiri na muumini wa Kanisa la Kibaptist...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mabomba hayatoi maji ,mitaro imeziba miundo mbinu imechakaa sehemu ya kuweka taka ni hoteli majiko ya kukangia samaki ya makaa ya mawe wanatumia kuni maji ya kupoozea mkaa wanatumia vibobo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…