Asent Benki Kuu kwa kuongeza muda wa kutoa taarifa zetu kwenye mabenki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asent Benki Kuu kwa kuongeza muda wa kutoa taarifa zetu kwenye mabenki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mambo moto, Mar 16, 2012.

 1. m

  mambo moto Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nilikuwa mmojawapo wa wale ambao walikuwa hawajawasilisha taarifa zao benki, hivyo hatua ya beki kuongeza muda wa kupeleka taarifa hizo imenirahisishia kazi hiyo, sasa nina uhakika wa kuzipeleka bila tatizo.
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  hasa hasa nbc walikuwa wanachosha sana
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu wameongez hadi lini??
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mambo vp, sema vizuri uache kubakisha maneno tumboni!!! Mwisho lini????
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwisho March 14, 2013.
  Kwa tunaopenda kufanya kazi under deadlline tunasubiri tarehe 10. march 2013.
   
 6. K

  KIMALIKE Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peleka araka mkuu isije ikafika tena ded line ikakuta bado manake wa bongo kwa zima moto,utaona watu awatapeleka ikifika bado siku moja tena utakuta watu kibao ndio wana kimbizana foleni kibao!!!!!
   
 7. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nitaenda tarehe 13 march 2013....... Hongera Kwa Serikali
   
Loading...