Je Lowassa haelewi, anadanganya au ni kiumbe wa ajabu diniani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Lowassa haelewi, anadanganya au ni kiumbe wa ajabu diniani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babykailama, Mar 15, 2012.

 1. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amesema kwa kinywa chake leo hii (kupitia TV) amesema mwenyewe kuwa,


  “.......Sina Cholesterol......, niko tayari kwa mapambano......”


  Ina maana amepimwa na majibu yake ni: OE: Total cholesterol of 0 mg/dL.
  Je hii ni kweli?
  Tunahitaji Cholesterol, kiasi kila siku maishani kwa ajili ya miili yetu.
  Zifuatazo ni kazi za Cholesterol (kwa Kiingereza):

  • Building and maintaining cell membranes
  • It is vital for the metabolism of fat soluble vitamins, including vitamins A, D, E, and K
  • Converting sunshine to Vitamin D
  • Critical in the production of hormones released by the adrenal glands
  • Helpful to determine cell membrane permeability
  • Aids in the production of bile
  • Protecting nerve fibres
  [FONT=&quot]Ni wazi kuwa, ama HAELEWI [/FONT][FONT=&quot]maana ya Cholesteral au ANADANGANYA au kama asemayo ni kweli basi ni kiumbe- mwanadamu wa AJABU duniani kimaumbile.[/FONT]
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  In short E.L. haelewi maana ya Cholesterol! Msamehe.
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,440
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Naona mmekosa cha kujadili vijana .
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna aina mbili za Cholesterol : (a) kuna Cholesterol nzuri - HDL (b) aidha kuna Cholesterol mbaya - LDL. Huyu E.L. ametamka bayana kwa kinywa chake kuwa hana Cholesterol! Mkuu labda ungerudia kusoma vizuri hiyo thread.
   
 5. A

  Anold JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,235
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kwanini kushindana na aliyeshindikana?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hana alijualo huyu EL, afya yake inaonyesha inawalakini asisingizie macho ooohh Prof Majimarefu wa Ujerumani ananiangalia....I bet hafiki 2015 huyu
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Yaani macho tu mpaka ujerumani kwani CCBRT haipo? Sasa huyu sio mgonjwa kweli?
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe unawashwa na nini? Au chakula cha Cameroon kinakuwasha?!!!
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kumbe wewe ni Mungu hata ujue ukomo wa maisha ya mwanadamu!
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ivi macho ndo yanasababisha mwili kudhoofu kiasi kile?
  Maana amechoka!
  Alafu by chlorestrol naona alimaanisha sina BP ndo lugha ambayo watz wengi huitumia si mlimwambia ana stroke so ndo maana akasema hayo plus kuwa hana sukari
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu, wamezoea mipasho hawa. Wivu wa kike unawasumbua.
   
 12. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,289
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Anatumia fimbo kujificha...
   
 13. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,226
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Like! Kusema uongo kwenye sayansi inahitaji uangalifu.
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,339
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  Hajui anachoongea? Ndio maana anasema "mapigo yangu ya moyo ni 120 kwa 80"! hakuna kitu kama mapigo ya moyo kua 120 kwa 80... hapo alichokua anaongelea ni msukumo wa damu na sio mapigo ya moyo!

  Ifikie mahali tuachie wataalamu kutoa matamko ambayo ni technical!
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,090
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Huyu ni mginjwa hoi, anajikaza tu ili nae aje kuangukasoga anguka jukwaani kama swahiba wake wa Msoga.
   
 16. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ugonjwa umepanda kichwani.
  OTIS
   
 17. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jamaa kachoka ila kabakiza nguvu ya mdomo tu. Moyo unataka lakini mwili na akiki dhoofu hali. Uso umemkoboka utafikiri atumia mkorogo. Akitembea ananyata utafikiri ni kipofu. Siye yetu macho lakini hata akifika 2015 labda awe raisi wa Monduli, lakini kwa Tanzania nzima NO
   
 18. m

  macinkus JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hata nurse wa Monduli angeweza kumpima bp, pulse na cholestorol. Ujerumani alifuata nini? Kujifunza kuwa mapigo yake ya moyo ni 120/80?
   
 19. o

  omuhimba Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujadili mambo yenye tija kwa Taifa na sio mambo binafsi!

  [FONT=&quot]"Patriotism is supporting your country all the time, and your government when it deserves it.[/FONT][FONT=&quot] "[/FONT]
   
 20. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumuombee kwani ukimwangalia kwa jana ukakamavu wake unazidi kudorora
   
Loading...