Wimbi jipya la wizi na ujambazi Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbi jipya la wizi na ujambazi Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PRISCUS JR, Mar 16, 2012.

 1. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Siku za hivi karibu kumeibuka wizi na ujambazi katika jiji la Mwanza, hali hii imekuwa sugu maeneo ya Malimbe Nyegezi, Kitangiri,Kilimahewa na sehemu mbalimbali za jiji. Yameripotiwa matukio mengi ya wizi, mfano juzi huko kilimahewa, wezi walivunja duka la vipodozi la bwana Thobias na kuiba mali yote, usiku wa kuamkia jana ilisikika milio ya risasi katikati ya mji pila mpaka sasa hakuna ripoti ya milio hiyo. jumatatu ya wiki hii mama m1 maeneo ya kitangiri aliibiwa vyereani na nguo mchana, hali inatisha
   
 2. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hii ndo mwanza..huku malimbe wanafunz wanauliwa tuuu
   
 3. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mabinti wanabakwa na kunyang'anywa laptop zao. hali ni tete.
   
Loading...