Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani hapa wilayani MAGU leo kuna upungufu wa magari ya usafiri (kutoka Magu kwenda mwanza) hali ilyopelekea makonda na maDREVA kujipandishia nauli kiholela kutoka Tsh.2000/= hadi Tsh.3000/=...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpaka sasa hivi saa 3.47 usiku umeme ulikatika toka saa 11.00 alfajiri hakuna dalili za kurudishwa ukizingatia kuwa Maji, simu kuchajiwa, kunyoosha ngua za kazini na mboga za kwenye mafriji vyote...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
kama mwalimu, ninaeipenda kazi yangu, nimesikitishwa na tamko la serikali bungeni hivi leo kupitia waziri wa utumishi wa umma-Hawa Ghasiah, akijibu swali la mbunge aliyetaka kujuwa kwa nini...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanza wana JF wenzangu poleni sana na msiba wa Kanumba Pili poleni kwa hang over, na pilau la Pasaka Tatizo langu ni kushindwa kumuelewa huyu baba riz (JK), nimeona katika moja ya magazeti ya...
11 Reactions
72 Replies
11K Views
Habarini za jion wana JF,nadhan mko vizr baada ya mihangaiko ya mchana kutwa.pia polen sana kwa kumpoteza kijana mwenzetu SCK tuliyemzika leo. kuna jambo nimeliona ktk hii tasnia ya filam...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Polisi mkoani Morogoro inamshikilia Shaban Matibwiri,kijana mwenye umri wa miaka 25,mkazi wa Mji mpya mkoani Morogoro.Shaaban anashikiliwa kwa kosa la kukutwa na Misalaba mitano inayo sadikika...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Ningependa kuwaeleza juu ya experience yangu binafsi, hasa katika kipindi hiki ambacho kuna utata juu ya kifo cha kanumba. Ukweli ni kwamba katika mazingira fulani, unywaji wa pombe kali unaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha wananchi (cuf) kimeandaa maandamano makubwa ya wakulima wa korosho tandahimba yatakayofanyika kesho tar-11/04/2012. Maandamano hayo yanalengo la kufikisha ujumbe kwa serikali kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyie akina Steve Nyerere, JB, Ray, Mainda etc etc...... ambao mnasema kuwa Kanumba kawasaidia sana hadi kufika hapo mlipo.... KWA NINI HAMKUTUELEZA HAYO WAKATI AKIWA HAI? Au ndo yale yale ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi wafanyakazi wa TRA hamridhiki nini? mbona mna mishahara mizuri mizuri lakini ndo wala rushwa wakubwa kwanini dereva au mtu anahitaji TIN number anachukua muda mrefu anaambiwa aje wiki ijayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuliambiwa kuwa chadema tv inakuja na naona wamepiga hatua nzuri kwa kuwa na chadema tv kule you tube japo hawa upload matukio yote( sasa sijui zile kamera zote kwenye mikutano wanapeleka wapi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani jamani naomba kuuliza mama mjazito amepanda ndege ya klm kuelekea amsterdam mtoto akazaliwa angani huyo mtoto anakuwa na uraia wa aina gani jamani???
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hi ifike wakati tuanze kujilinda wenyewe ndugu zanguni nimeanza kuhofu huu mfululizo wa ndege za atcl kupaki kimoja kwenye mikoa mbaya pemben kabsa ya uwanja kuonyesha tulikuwepo nahisi ni wakati...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lazy men believe in luck, but men of worth believe in facts. A wise man once said, "success is matter of luck, ask any failure". Rather than go for facts, the lazy man thinks people arrived at...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa ninafurahi kuona ID alafu ukawa unamjua yeye akujui je wewe katika ID za humu ndani unaweza kufahamu nikiongozi gani wa serikali??Waziri,Katibu Mkuu,Wakurugenzi?Viongozi wa vyama vya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
American civil rights leader Martin Luther King, Jr put it aptly: “It is not enough to say we must not wage war. It is necessary to love peace and sacrifice for it.” “Darkness cannot drive out...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Kipindi cha "This week in Perspective" ni moja ya vipindi vizuri vyenye kuchambua mambo muhimu sana katika jamii ya kitanzania.Hujaribu kufafanua masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya jamii -...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
amwambia mkulo atafute majibu ya maana kwa swali la mh. Zitto baada ya majibu ya awali kukataliwa... nahisi mama ameamuka toka usingizi wa ccm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Concussion OverviewThe term concussion describes an injury to the brain resulting from an impact to the head. By definition, a concussion is not a life-threatening injury, but it can cause both...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…