majira ya saa 5 asubuhi leo kumetokea radi kubwa sana katikati ya jiji. Kwa upande wa baharini anga ilionekana kama kitu kilikua kina ungua na moshi ulitanda.
Pia kuna tetemeko la sunami huko...
Mkoa wa Tabora umekuwa ukitumiwa na serikali kufundishia viongozi, kwani viongozi wengi wa mkoa huu huwa mara yao ya kwanza kashika nyazifa zao, wakipata uzoefu tu wanahamishiwa mikoa mingine...
Natambua elimu ndo kila kitu katika swala zima la kimaendeleo. Hivi majuzi serikali imetenga sh. Bil 150/= kufanya utafiti ni kwa nini wanafunzi wanaferi na wengine wanafaulu ihari hawajui kusoma...
Dr remmy Ongara, Kanumba na Tx William Moshi? kwa upande wangu Dr remmy na Tx Moshi wamefanya makubwa kuliko Kanumba na wangefanyiwa kama Kanumba, maana sijaona cha ajabu alichofanya kuwazidi hawa...
Tue, Apr 10th, 2012
Tue, April 10th 2012/ Tanzania |
By In2EastAfrica Staff
Minister for Labour and Employment, Gaudensia Kabaka
Job seekers will not have to possess experience in order...
Mapenzi ya watu kwa MAREHEMU, na sifa kem kem kutoka kwa SIRIKALI kuwa MAREHEMU amekuwa balozi wetu nchi za nje kantika tasnia ya kujifanya mtu mwengine, kunampa uhalali MAREHEMU kuwa na urafiki...
siku zote uwa najiuliza hili swali?
Je ni kweli kwamba Alqaeda inapigana na Marekani? Au ni propaganda inayo tumiwa na Marekani ili iweze kuvamia na kutawala nchi za Mashariki ya kati.
Kuna kila...
Hakika mambo niliyoyashuhudia leo wakati watanzania tukihitimisha safari ya mtanzania mwenzetu Steven Kanumba, yamenipeleka kwenye fikra nzito za utajirisho. Nilikuwepo viwanjani Leaders na...
Nimetafakari muda mrefu nimekosa majibu yakuridhisha kichwa changu. Hii ni baada ya kushuhudia kwa takrbani mwezi sasa(hii ni kipindi mimi nilipojua, ilianza muda mrefu), hospitali kubwa kukosa...
Ukiimudu vyema Propaganda na Ukaitoa kwa kiwango cha Ufundi, unaweza kuwaaminisha watu kuwa JEHANAMU ndio PEPONI au kuwafanya wayachukulie maisha ya hovyo na ya taabu kuwa ndio PARADISO.
Sina uhakika kama niko sahihi lakini nimepata tatizo kidogo. Mwenye jibu anijuze. Hivi nikitaka kusema Mungu ambariki Zitto nitasema God Bless Zitto, au kwa wengine nitasema God Bless...
ki ukweli nimefurahishwa na taarifa ya kutaka kuboresha tbc.na mkurugenzi kasema zinahitajika shs bil 18 .na serikali imesema itakopa nssf. Mi na ushauri kwa serikali kwmb bajeti ya fedha...
Ingawa majonzi bado yapo kutokana na msiba wa Steven Kanumba, kuna haja ya kuwakumbusha CCM kuwa ahueni waliyoipata hasa Livingstone Lusinde aka Domo Chafu aka Kichaa imetoweka. Lazima tuwarejee...
Maziko ya mastaa,watangazaji,wanasiasa na wanajeshi yanapewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari na wanasiasa wanahudhuria kwa wingi lakini ikiwa ni mwalimu,mkulima,mvuvi,mfugaji au bwana shamba...
dau kuna taarifa za moto kuwaka maeneo ya nyuma ya stand ya mabasi za mikoani arusha mjini, ndio zima moto wamefika eneo la tukio kujaribu kuzima ila bado hawajafanikiwa kuuzima
Watoto wa Karne hii,ni wanajifunza kwa vitendo zaidi kuliko sie tuliokarilishwa wakati tukisoma!
Hivi karibuni tumeshuhudia two extremes katika career hapa nchini na jinsi zinavyothaminiwa ! I.e...