Radi ya kutisha katikati ya Dar na Sunami ya Indonesia leo saa 5:25asbh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radi ya kutisha katikati ya Dar na Sunami ya Indonesia leo saa 5:25asbh

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Apr 11, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  majira ya saa 5 asubuhi leo kumetokea radi kubwa sana katikati ya jiji. Kwa upande wa baharini anga ilionekana kama kitu kilikua kina ungua na moshi ulitanda.
  Pia kuna tetemeko la sunami huko Indonesia ktk mda huu. Tunataadharishwa kuwa mbali na fukwe
   
 2. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  duuuh na pande za moro kuna bonge la mvua yaani kumenuna ile mbayaaaa.
   
 3. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jaman hata ie hapa oficn kwetu uongozi umetusambazia email kuwa kuanzia mita ya saa kumi jion tuwe mbali na bahari tuwaarifu ndugu jamaa na marafiki kwani kuna hatari ya sunami na itaadhiri maeneo mengi ya karibu na bahari.
   
 4. javascript

  javascript Senior Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Duh hii kazi tena,sie wa hapa bongo twende wapi,mayooooooooo!!!!!
   
 6. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  na mvua bado inaendelea mpaka hivi sasa ktkt ya dar na radi lukuki....ina raha yake lkn hii hali, hususan kama hujakwama kwenye foleni huko mabarabarani!
   
Loading...