Msibani: ujumbe huu ulitolewa?

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Vijana mjihadhari pombe mtumie kwa kiasi mtapata matatizo kama ya mwenzenu Kanumba. Au mmebaki na utanzania kwamba mkimpenda mtu basi anakuwa ni msafi kwa kila kitu especially akishakuwa amekufa. Najua watu wengi wana story nyingi za Lulu ule ulikuwa ugomvi wa ndani ebo, muwasihi wasanii na watu wengine kilevi kikizidi sio kizuri.
 
ndo maana nauliza sikuwepo, maana tatizo la msingi huwa linaachwa.
 
Vijana mjihadhari pombe mtumie kwa kiasi mtapata matatizo kama ya mwenzenu Kanumba. Au mmebaki na utanzania kwamba mkimpenda mtu basi anakuwa ni msafi kwa kila kitu especially akishakuwa amekufa. Najua watu wengi wana story nyingi za Lulu ule ulikuwa ugomvi wa ndani ebo, muwasihi wasanii na watu wengine kilevi kikizidi sio kizuri.
Sijui............... Ila ninachojuwa kinachouwa si pombe pekee..... Wengine mpo bize kutokunywa pombe lakini hamtumii kondomu
 
kanumba itabidi amshawishi sana Mungu vinginevyo MUNGU ATAMUWEKA MAHALA ANAPOSTAHILI
 
Hilo nalo neno kwa wasiokunywa, lakini hata sisi tunywao kipimo kisizidi mpaka ukashindwa kujijua unaitwa nani
 
Lakini God akiona nyomi iliyomzika anaweza akamuweka pazuri, la sivyo nyomi yote haitamuelewa Mungu kwa maamuzi atakayochukua.
 
mtu akifa kwa uimwi umeshasikia wakiongelea kuwa wengine mujihadhari msiwe kama marehemu? mbona mlipuko tu weye kuanzisha thread hii sioni umuhimu wa maneno yako.

marehemu kasukumwa kafa kwa kujigonga, unataka nini tena maana hata asie jue pombe anakufa kihivi.
 
Una uhakika kasukumwa? Mimi nina uhakika na nilichosema chupa za whisky alizokuwa anakunywa
 
kanumba itabidi amshawishi sana Mungu vinginevyo MUNGU ATAMUWEKA MAHALA ANAPOSTAHILI

Na wewe utazikiwa bar au? Mana unaanza kuingilia kwenye maamuzi ya Mungu na kuwapangia wenzio wapi wawekwe, si ustaarabu hata kidogo ni mtu mwenye roho mbaya kama sura yako ndio anayeweza kuwaza uwazavyo.
 
Lakini God akiona nyomi iliyomzika anaweza akamuweka pazuri, la sivyo nyomi yote haitamuelewa Mungu kwa maamuzi atakayochukua.

God's judgement is just and righteous, and is not moved by circumstances but how you lived your life when you had a chance. So my dear make use of your religious books (Bible).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom