Vodacom Swaga ni nini??

Wabogojo

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
354
87
Kwa wenzangu watumiaji wa huduma za simu za vodacom, je mmewahi kuomba huduma ya voda swaga na kama ndiyo je ina manufaa gani kwa mteja wa voda? Sasa nawauliza watoa huduma za voda, hii vodacom swaga ni kitu gani? Kwani ninakatwa sh. 30 kila siku kwa hiyo huduma yenu ambayo hata siijui na sijawahi iomba. Tafadhali elimisheni wateja wenu la sivyo huu utakuwa na uhuni na wizi kwa wananchi waliochoka kiuchumi.
 
I see unapopiga simu unasikia muziki fulani wanakuambia unautaka muziki huo bonyeza 1 na utakuwa wako. Ukibonyeza tu basi umejiunga na swaga na kujitoa ngumu ! Huku vijijini wengi wanalia kwani akiweka salio linakatwa eti swaga na hali ya uchumi ndo hiyo. Mke wangu pia alikuwa na hiyo problem nikampigia kijana wa voda akarekebisha huko2 bila kunipa procedure.
 
ondoa kwa kuandika"radiozima"tuma kwa 15600
Ahsante sana Sugi kwani tayari nimetumiwa sms za kukubaliwa ombi langu la kujiondoa. Ila ni kweli huu ni wizi wa mchana kweupe unaofanywa
na vodacom na sijui kama wanalipa kodi stahili serikalini kwa mapato ya kijanjajanja kama haya - Wizi mtupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

a
 
Back
Top Bottom