Mvua Dar es Salaam

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa jijini...
Wataalamu tujuzeni kunani cuz hizi radi zinaweza kutuangusha tulio magorofani...
 
Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa jijini...
Wataalamu tujuzeni kunani cuz hizi radi zinaweza kutuangusha tulio magorofani...

Rejao matokeo ya Arumeru vipi? Maana mara ya mwisho ulisema tusubiri ya vijijini? Vp ushayapata uyajumuishe?

Kumbe mtoto wa maghorofani wewe?
pole upo hall ii?
 
Wadau hata mimi nimepigiwa simu na ndugu zangu waishio Mbagala wameniambia hali ni mbaya! kumeripotiwa kudondoka kwa nyumba na uharibifu wa thamani! serikali ichukue hatua haraka ili yasitokee kama ya mwaka jana!
 
hatukujifunza baada ya yale ya mwaka jana, sijui hata kama serikali imejiandaa na maafa.
 
Rejao matokeo ya Arumeru vipi? Maana mara ya mwisho ulisema tusubiri ya vijijini? Vp ushayapata uyajumuishe?

Kumbe mtoto wa maghorofani wewe?
pole upo hall ii?
Arumeru wauliza leo hii? Mambo ya kule yashaisha...tunasonga mbele.
Kwa sasa tuongelee hatma ya mvua na tetesi za Tsunami.
 
Attachments

  • DSC07320.jpg
    DSC07320.jpg
    55.3 KB · Views: 67
Tuombe Mungu isiendelee na kuwa kali wakati Tsunami itakapofika. Ni hatari sana!
 
Ni kwa nini kunakuwa na foleni mbaya Dar kila mvua ikinyesha?
 
Back
Top Bottom