Moto masokoni lina mkono wa chama kulipiza kasasi kwa wananchi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Wadau nimemsikia kwa masikio yangu kada mmoja wa CCM akiteta na mwenzake kwenye simu kumpongeza kwa kazi iliyofanyika ya kuchoma soko la Arusha ikiwa ni kukwamisha maendeo kwa majimbo ya upinzani. Tena akasisitiza kama Mbeya wameweza Mwanza lini then akapotezea kujua namaikiliza by nw yupo hapa maeneo ya Mwenge
 
eeeeee! Jaman kama ni kweli bas kaz ipo!! ila ipo siku watajuta kwa hayo wanayoyafanya!!! Mungu mkubwa!
 
Wadau nimemsikia kwa masikio yangu kada mmoja wa CCM akiteta na mwenzake kwenye simu kumpongeza kwa kazi iliyofanyika ya kuchoma soko la Arusha ikiwa ni kukwamisha maendeo kwa majimbo ya upinzani. Tena akasisitiza kama Mbeya wameweza Mwanza lini then akapotezea kujua namaikiliza by nw yupo hapa maeneo ya Mwenge

mkuu tafiti ifanyike masoko yote moto unapoanzia mwenye hicho chumba ni nani? itikadi yake inasemekana matukio mengi
ni ya kuandaliwa shoti za umeme zinatengenezwa jama mwenye chumba anachukuwa mshiko
 
Back
Top Bottom