Wabongo na ubunifu

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nikiwa na hangaika na foleni baada mvua kubwa iliyonyesha Jijini Dar, maeneo ya mataaa Morocco vijana walikuwa wanauza CD za msiba na mazishi ya Kanumba steve (RIP). Kijana anasisitiza picha zote kuanzia nyumbani, Muhimbili, leaders hadi makaburini. Bahati mbaya sikununua kuogopa kanyaboya maana editing imefanyika lini? Kingine nilijiuliza ninunue ili iweje? Ninajua familia ya SK haitopata kitu

Bongo Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom