Live: CLOUDS FM/TV & TBC mtaonesha lini Mazishi ya General Kyaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live: CLOUDS FM/TV & TBC mtaonesha lini Mazishi ya General Kyaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Apr 11, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Je General Kyaro hakuna na mchango wowote katika taifa la tanzania?
  Hapa nipo nasubiri TBC:mimba:clouds Tv kuonesha live mazishi ya our Beloved General Kyaro


  RIP G. Kyaro
  RIP Kanumba
  RIP Katiba mpya
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Hata heshima ya kumbukumbu bungeni Zitto ndo kakumbusha.
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  R.I.P IGP Mahundi.
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ccm kila mtu kivyake kula usepe
   
 5. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,073
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  Shujaa wetu wa ukweli ambaye kafariki akiwa msafi muadilifu hakuna hata media moja inayodhubutu hata kutoa wasifu wake ila wazinzi na walevi walipewa airtime ya kufa mtu,kweli hii inchi imeoza au tuanze kuamini ufree manson nini?
   
 6. m

  mandemba Senior Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ba mwanaasha vipi alienda kutoa pole
   
Loading...