Utaratibu kuhusu saluti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu kuhusu saluti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mmang'ati, Apr 10, 2012.

 1. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wadau nna imani kuwa ntapata msaada juu ya utaratibu wa kupiga/kupigiwa saluti. Nikianzia na obama huwa namuona akijibu anapokuta askari wanampa saluti bt jk cjawahi ona. Then leo msibani kova ameshusha saluti je ni sheria?hata marehemu akiwa raia? Imenichanganya zaidi aliposhusha saluti kamanda Sugu ni sahihi au kwa vile alikuwa na gwanda lile la chama. Mnijuze tafadhali ndugu zangu ikiwezekana na mi niwe nikiangusha panapostahili maana police na wajeda wabongo wanaweza kukuintelijensia kabla hata mkono haujafika begani.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
 3. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  1. A salute is a gesture or other action used to display respect.

  2. Salutes are primarily
  associated with armed forces, but other organizations and
  civil people also use salutes.

  3. methods of performing
  salutes, using hand gestures, cannon or rifle shots, hoisting of flags, removal of headgear, or other means of showing
  respect or deference.
   
 4. N

  Neuton I. Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. Ila huyo raia aliyevaa magwanda ya chama sijui amepata wapi authority ya kupiga saluti ya kiaskari. Akifanya tena, hebu mlete kwangu haraka sana nimfunze nidhamu. Sawa?
   
 5. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hata raia wa kawaida anaruhusiwa kupiga salute.
   
 6. R

  RUTARE Senior Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salute ni salamu kwa hiyo askari wakivaa uniform hutoa salamu kwa njia ya salute na askari ni nani ni mtu yeyote anayefanya kazi za kiaskari kwa wakati huo awe mlinzi wa kampuni au mgambo ni askari kwa hiyo kamanda sugu naye kwa kuwa na mwonekano wa kiaskari alikuwa sahihi kutoa heshima/salamu za mwisho kwa njia ya salute
   
 7. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Sasa,kama ndo ivyo,kuna uhusiano gani kuipigia maiti salute?Jst a respect or what?Naic ktk mazingra ya kidini,sala fupi,ishara ya msalaba,dua n.k.vinaweza kuwa valued rather than salute.Au?
   
 8. B

  Black Rhino Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ninavyofahamu, saluti askari anatakiwa kumpigia mkubwa wake tu, na yeye ataipokea kwa saluti kama yuko na uniform na kofia, vinginevyo atatakiwa kuipokea saluti hiyo kwa kukakamaa tu. Hii ya igp na geneza la kanumba sijui kwa kweli.
   
 9. g

  germstone jnr Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nafikiri kuna point una i over look,ASKARI AKIWA KWENYE SARE, Hata kama alikuwa kwenye ibada,suala la salamu ya mwisho kwa marehemu linamtaka afanye hivyo otherwise asivae sare awe civilian.
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Inategema na tafsiri yako ya saluti. Saluti ni salamu; wanajeshi wanaionyesha kwa kuweka kiganja cha mkono wao wa kulia juu ya paji la uso wao. Kila jeshi lina namna ya kuiweka, wengine hunyoosha viganya vyote, wengine hutumia vidole viwili; na askari wote katika jeshi hilo wanatumia sataili moja ya kufanya hivyo. Raia hufanya hivyo kwa namna mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kupungiana mikono, kuweka kiganja kwenye lips za mdomo, kunyoosha vidole viwili hewani,kunyoosha ngumi hewani, na vile vile kuweka kuweka kiganja cha mkono wa kulia juu ya paji la uso kama wafanyavyo askari. Kwa hiyo saluti ni saluti tu, hakuna saluti ya askari wala ya raia au ya maiti.
   
 11. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nkujuze kuwa Salute aloitoa Sugu ni ya kiraia si kama askari
   
 12. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwa naona mara nyingi askari akiwa ndani ya uniform ikipita maiti anapiga salute
   
 13. RAU

  RAU Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Askari yeyote akiwa katika mavazi ya kisheshi, amevaa kofia, anatakiwa kupiga salutiya mkono anapokutana na msafara uliobeba maiti gari husika, akiaga maiti haijalishi ni raia au askari wote wanapewa heshima ya mwisho kwa mapambano ya duniani.
   
 14. b

  bogota the king Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tutaiingiza salute kwenye mchakato wa katiba!
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade hapa umetisha ambae hata uelewa ufafanuzi huu hatokuja kuelewa milele
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hii ya kamanda Sugu ilikuwa "FEKI"


  sugu na salute.JPG

  Kila nchi ina utaratibu wake, USA rais ni mkuu wa majeshi hivyo ni mjeda kwa cheo chake kama ilivyo bongo, lakini USA unaruhusiwa kupiga saluti hata kama huna sare za kazi, ndio maana mapresdaa wa USA wanazipiga kama kawa.

  Tz rais hapigi kabisa saluti, na askari haruhusiwi kupiga saluti ya kiganja kichwani kama hajavaa full sare za kazi, hapa namaanisha lazima uwe umevaa full kuanzia kofia hadi viatu, kiki miss kimoja au ukiwa huna sare unabana mikono kuonyesha heshima
  Pia askari wanapigia saluti maiti kama wamevaa sare na hasa wakati wa kuaga.kama hana sare anabana mikono
   
 17. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mwe! Kova ni IGP tangu lini?!
   
 18. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwa nini Obama anapiga saluti tena akiwa kwenye vazi la suti?
   
 19. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hata ukiwa na vazi la kiraia una ruhusiwa kupiga saluti mfano mzuri Obama yeye anapiga salute kavaa suti. Kombati hazihusiani na saluti.
   
Loading...