WAKILI Mwale alalamika magari yake ya kifahari kuendelea kushikiliwa ,ahofia kuharibika

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Wakili maarufu nchini Median Mwale amewalalamikia mawakili wa serikali kuendelea kupiga danadana usikilizwaji wa rufaa waliokata ya kupinga mahakama kuamuru magari hayo akabidhiwe wakili Mwale,leo hii amewasilisha mapingamizi manne mbele ya jaji Kakusulo Sambu ya kulalamikia hatua ya mawakili wa serikali,akidai kuwa magari hayo kuendelea kukaaa bila kutumika yanaharibika.
 
Back
Top Bottom