Authorities dar wame over blow tsunami warning

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu vyombo vya hali ya hewa vinavyo heshimika duniani vimekwisha downgrade hiyo warning hawa kina kijazi wanasababisha foleni zisizo za lazima dar es salaam ama kweli hili ni taifa la majinga tena majinga kabisa
 
kwa hiyo ulitaka wawe perfect?ndio maana ukaitwa utabiri!umepost saa moja kasoro kwa hivyo tishio halijaondoka.
 
Ulitakaje mkuu, wakae kimya au?
 
kwa hiyo ulitaka wawe perfect?ndio maana ukaitwa utabiri!umepost saa moja kasoro kwa hivyo tishio halijaondoka.
hakuna tishio lolote us geological survey na vyombo vingine wamekwisha lift alert status....ni ujinga tu wa watanzania ndio maana tunaacha kazi kujazana kwa mazishi ni ujinga tu
 
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu vyombo vya hali ya hewa vinavyo heshimika duniani vimekwisha downgrade hiyo warning hawa kina kijazi wanasababisha foleni zisizo za lazima dar es salaam ama kweli hili ni taifa la majinga tena majinga kabisa

Jamani tusiwe wajinga. Hii tahadhari hata vyombo vya kimataifa vilitoa lakini baadae ikawa cancelled.
 
Akina Lukuvu mpaka wafungue kwanza JF ndio wakatangaze. By the time wanafika kutangaza mambo yashabadilika. Tuwasamehe!
 
Mimi naongelea unnecessary panic hawa tma wanasababisha kwa public....they dont follow and beef up the public na latest updates kutoka kwa wenyewe waliobobea na mambo hayo.....ni ujuha tu hamna lingine
 
ni utabiri wa hali hewa mkuu na sio lazima utabiri huo utokee. walikuwa sawa kabisa kutoa tahadhari ili watu wajiandae kwa kujihami na maafa ambayo yataweza kutokea. ni mambo ya nature hayo na mungu, vipimo sio lazima ziwe perfect
 
Mimi naongelea unnecessary panic hawa tma wanasababisha kwa public....they dont follow and beef up the public na latest updates kutoka kwa wenyewe waliobobea na mambo hayo.....ni ujuha tu hamna lingine

kuna mtu yuko kurasini ameniambia nyumba yake imepata tetemeko,huwezi kuignore warning iliyotolewa.
Hata TMA hawawezi kuondoa tishio kisa USA wameshaondoa!
 
kuna mtu yuko kurasini ameniambia nyumba yake imepata tetemeko,huwezi kuignore warning iliyotolewa.
Hata tma hawawezi kuondoa tishio kisa usa wameshaondoa!

kumbe kiingereza ni janga la kitaifa hivi mnaelewa maana ya neno over-blow....sikusema wasitoe tahadhari nimesema wame over--blow na kusababisha unnecessary inconvenience kwa public
 
Natokea mwenge ndani ya masaa mawili ndo nafika makumbusho..
Bongo haipo tayari kwa janga lolote maana tutalala makazini..
 
jamani nitafairiwe hiyo over blow halafu nitaendelea kufuatilia nabiahano yenu!
 
sasa hivi maeneo ya kivukoni wamegoma kuvusha abiria kisa TMA imewaambia waache mpaka hapo itakapo wataarifu..
 
Back
Top Bottom