Wana jf,nitumie fursa hii kuwajulisha juu ya kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango dodoma Siku ya j2 tar 15/4/2012 saa 7 mchana.Mada itahusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA...
Wakulu jana nilichelewa kuwaletea habari hii kwakuwa nilibanwa na shughuli nyingi na vikao kemkem.
Kuna taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika kuwa sasa pesa zilizopitishwa serikalini...
Ktk hali ya kushangaza ,hali inayoturudisha ktk zile enzi Tanzania ilichukua number 1 kwa maambukizi ya ukimwi duniani.Ilikuwa bahati WHO walikuwa na data, vilaza wa kibongo walishaandika data zao...
Wana jamvi hii imekaaje naomba mawazo yenu hapa, nchi yetu inaongoza kwa vivutio kibao barani mwetu, mito,bahari,maziwa, na vitu vingine vingi. sasa kuna hili lingine la wananchi kuwa na mwamko wa...
Nasikiaga clouds tv clouds tv. Urushaji wao wa matangazo ya live kumbe sio.Mlobahatika kuona Katika viwanja vya Readers katika kuuaga mwili wa marehemu Steven Kanumba nahisi mna mengi ya kuchangia.
Leo(14/4/2012) nimemsikia mkuu wa wilaya ya kibondo kwenye taarifa ya habari(STAR TV) akiwakemea wanakijiji wa kijiji kimoja wilayani humo kwa kitendo chao cha kugomea kutwaliwa kwa maeneo yao...
Wanabodi
Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati...
Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha...
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi...
Jana nilifuatilia sana n leo imetaarifiwa kwamba Baraza la Habari limeshutumu vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii kwa jinsi vilivyoripoti tukio la kifo cha msanii mmoja marufu hivi...
Jamani nikisoma gazeti la haabri leo jana naona picha ya mzee mwenye familia akiapishwa na mh rais niliposoma chini naona wameandika rais akimuapisha katibu tawala mh mariam mtunguja
he sasa sijui...
Afrika iliwahi huko nyuma kupata wanasiasa mahiri na weledi na wazalendo kweli kweli kwa Bara lao na watu wake.
Wanasiasa wa aina ya Kwame Nkurumah na Mwalimu Nyerere ambao mabishano yao ya jinsi...
Heshima kwenu Ndg wana jf!napenda kuwajulisha vijana wote waliopo dodoma kwamba kutakuwa na kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango kilichopo eneo la miyuji jumapili 15/4/2012 saa 7...
jamani wana jf,hebu nisaidieni kuhusu hili; hivi ni kwa mtu alyezaliwa tar 25 july2011,anatakiwa afanye sherehe tar 25 july2012 kwa kutimiza mwaka mmoja au kwa kuanza mwaka wa pili? mimi...
nini hatima yetu na malengo yetu kama vijana.
tangu ufanyike uchaguzi mkuu wa tanzania ni mwaka mmoja na miezi kadhaa sasa imepita nafikiri huu ni muda muafaka wa kukaa chini na kutathmini kipi...
Copies of original newspapers describing the sinking of the Titanic rest in an exhibit at the South Street Seaport …TORONTO - It was the largest ship of its day, described by its creator as...
Tarehe 8 Aprili 2012 kulitokea vurugu za kukatana mapanga kati ya makundi hasimu yanayoshirikisha vijana wadogo wenye umri kati ya miaka 12-16. Makundi hayo ni JAMAICA MOCKERS na WEST LAWAMA...
Wanakitukuza kiswahili majukwaani,
Wanakipigia chapuo vikaoni,
Wakitumia siasani, kura wanapata,
Watatunga sera na Kanuni,
Kiswahili Lugha ya Taifa.
Wanalazimisha mfumo, kifundiswe toka...