Asiraji Mvungi : Ni uhuni au anatumika?ITV tuambieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asiraji Mvungi : Ni uhuni au anatumika?ITV tuambieni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicholas, Apr 12, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ktk hali ya kushangaza ,hali inayoturudisha ktk zile enzi Tanzania ilichukua number 1 kwa maambukizi ya ukimwi duniani.Ilikuwa bahati WHO walikuwa na data, vilaza wa kibongo walishaandika data zao chini ya miti, mbaa wakinywa pombe na wengine wakiwa kwa mabibi badala ya kwenda ktk field na kuchukua data toka ktk target population.
  Katika uchaguzi wa Meru kwa wale waliokuwa wakifuatilia ITV.Taarifa ya Ufoo Saro ingawa ni mwanamke ilikuwa na usahihi na kuonekana kuwa honest kwa alikuwa sight,tofauti ya ASIRAJI MVUNGI aliyekuwa kipia kelele kwa sauti km yupo kwa nyumba ndogo anakula per diem.Maswali ya Masako yalikuwa muhimu sana.Na majibu ya huyu bwana yalikuwa kichekesho kwa watu waliokuwepo Maeneo ya tengeru,USA na hata Arusha.
  Tukio la moto Arusha jamaa naye haku report km hali ilivyokuwa pale.Hakuweza sema jina sahihi la mtaa, hakuelezea wapi fire walishindwa zima moto ingawa ulianza mapema nao waliwahi, wakiwa na maji na baadaye wakaongeza magari na kufikia 6.Hakuleza makelele yaliyopigwa na watu waliokuwa wakiimba kuwa wanataka "tunataka mbunge wetu" huku wengine wakinyoosha vidole kwa ishara ya chadema. Hii si kuwa namlazimisha aandike habari za kisiasa ktk tukio la moto,ila ni kufaamisha jamii ili km wapo watu wanoweza jadili na kuona km kweli palitakiwa kuwa na haja ya kulinganisha udhaifu wa kukabiliana na tukio na siasa.
  Palikuwa na vijana waliokuwa wakizomea serikali ya ccm kwa kuwa na fire dhaifu vile, wengine kwa kuendekeza jamii za kiswahili ,kiasi cha kulea wavivu wanaoshia badili vichochoro kuwa viduka.
  Baada ya watu kuzomea sana huku wakiimba ,pilis walikuja na mbwa na baadaye watu wakaanza imba kwa style ingine wakidhihaki polisi kuwa hao mbwa ktk magari walikuja zima moto au?
  Suala la wizi halikuwa kweli kwani wafanya biasha wa hapa walifunga maduka yao na kushiriki uokoaji wa mali.Kwa vile maduka hayakuwa mengi ,wizi haukuwepo labda vitu livyodondoka.Hasara kubwa ni kwa baa,chakula na wengine ambao walikuwa kwa upande wa ndani ambao uokoaji haukufanyika kabisa.
  ITV wana haja ya kumwangalia huyu jamaa na kubaini km ni uwezo wake mdogo, anatumika au tuu keshakuwa teja na kwake kazi si issue tena ila kipato tuu na haendi site mara nyingine.Km ndiye huyu anayereport pia na kwa nipashe basi kuna uwezekano nipashe nayo ikawa ktk list ya magazeti vimeo.
  HUYU JAMAA ALIKUWA ANAONA ARUMERU VIJANA WAKIWA NA SILAHA WAKATI OFOO SARO HAKUONA NA WOTE WALIPITA MAENEO YALEYALE YALIOKUWA YANAPIGWA MABOMU YA MACHOZI.MMOJA hata moshi wa mabomu hakuwa akiusikia wakati naripoti na sauti yake ilikuwa km anongelea chumbani na mwingine alikuwa akipaliwa na moshi wa mabomu na majibu yake kwa masako yalikuwa yakileta sense...???????

  Kwa waliokuwepo ktk tukio walilalamikia haya:
  -Hakuna bomba kwa ajili ya fire brigade kupata maji mitaani.
  -Jamii haina elimu ya msingi ya kusaidia kukabiliana na moto mara utokeapo.
  -Nafasi kati ya nyumba na nyumba Vimejengwa viduka vya biashara.Watoto wa kiswahili wanaoishi kwa kodi za nyumba za urithi,wameendekeza mirungi kiasi cha kushindwa kuvumilia achia nafasi ktk ya nyumba na nyumba.
  -Utaalamu wa jamaa wa fire ni mdogo sana.Fire brigade walishindwa zima moto tangu ukiwa mdogo sana kwa vile maji ya gari lililowahi hayakutumika vyema.Jamaa walikuwa wakimwaga hovyo bila kuwa na plan.Hawakuwa na kiongozi wa kuwasaidia kuelekeza ni vipi na wapi wanwage maji.Waliishia fuata watu wakiwaambia moto huku mara huku mwishowe maji yakawa yanaisha bure.Mengi yaliishia mwagwa juu ya bati na moto unawaka chini, au ktk upande wa chini wa ceiling wakati moto unawaka ktk ya ceiling na bati
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  post ndefu huwa zinampoteza mtu kutoka main point,.but you are noted.
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu kama umeunguliwa frem
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa...
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  habari nyingine anazoreport ni km hakufika ktk tukio , na zile ambazo ni kama alifika katika tukio anaonyesha udhaifu wa kukusanya habari na ku report.Upo hapo KATAVI
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  So what?
   
 7. S

  SI unit JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  We ni mwandishi wa vitabu?
   
 8. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Chuki binafsi hizo,mbona kijana yuko sawa? Issue moja ya uchaguzi unamhukumu
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Jamaa angepangilia pointi nadhani angeeleweka. Kachanganya mno mada
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kwanini mnakimbilia jificha ktk chuki binafsi?hujamtetea kwa lolote.Au una mapenzi binafsi?Unahitajika ua mara ngapi ili uwe na hatia?
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kwanini mnakimbilia jificha ktk chuki binafsi?hujamtetea kwa lolote.Au una mapenzi binafsi?
   
 12. B

  Bijou JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red mdau ulitaka kusema nini????????? sijaelewa katika karne hii
   
 13. j

  joely JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Double per diem
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  teh teh...kwamba huyu binti alikuwa front akikohoa moshi wa mabomu huku tukisikia kelele za watu.Na majibu ya kuchomekea ya masako alikuwa akiyajibu honestly.Lakini jibaba letu alikuwa akijipigia kelele bila kujua kuna njia kibao za kujua mwongo na mkweli. Hakujua kwa haraka background noises zinasema, kwa mtu nayejua maeneo anaweza fanya pia comparison kati ya report yake na ya mwenzie ktk maeneo ya karibu.Wanahabari makini ni heroes of their own,ila bongo tuna vilains kibao.
  HAPO NDIO NAMKUBALI MASAKO KWA MASWALI YAKE AMBAYO WANASIASA DUNI WANAYACHUKIA NA KUNCHUKIA KABISA.This time mwandishi wao naye kadakwa.watoto wa mjini wanadai alikuwa maeneo anasikiliza redio za mjini hapa ambazo zilikuwa zinarusha live matukio mengi(nyiingine zilikuwa zikijenga mazingira ya vurugu ili kuhalalisha watakachofanya police).Ukweli nikwamba meru pamoja kuwepo watu wengi wakielekea USA siku ya matokeo,pamoja na kuwa mabomu yalipigwa ,hapakuwa na hatari kabisa.mara nyingi police wanapiga mabomu tuu kwa hofu ya wingi wa watu,so wanayapiga kuzuia watu wasizid ktk makusanyiko.Kazi kwa ITV,kuangalia vigamba aka vikanjanja.
   
 15. B

  Bijou JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu nimeelewa, tks
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ha ha....mad?
   
Loading...