MDA's za Serikali fungu chini kwa 40% ukiacha za Ulinzi Mambo ya Ndani

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Wakulu jana nilichelewa kuwaletea habari hii kwakuwa nilibanwa na shughuli nyingi na vikao kemkem.

Kuna taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika kuwa sasa pesa zilizopitishwa serikalini kwa Ministries, Departmentas and Agencies zinazotegemea serikali kuu kiwango kimeshuka kwa zaidi ya asilimia 40.

Wizara zenye fungu lililooongezeka nji Wizara Ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa na Wizara ya mambo ya Ndani. Hii maana yake nini? Ukizingatia hivi majuzi Serikali imedai kuvuka lengo la makusan yo.

Mwenye kulijua hili kiundani atujuze maana nina hofu na mwelekeo wa Taifa hili kama hali ndiyo hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom