Kongamano la vijana dodoma

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Wana jf,nitumie fursa hii kuwajulisha juu ya kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango dodoma Siku ya j2 tar 15/4/2012 saa 7 mchana.Mada itahusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA.watakuwepo waheshimiwa wabunge E.Wenje,J.Nassari,D.Silinde,H.Kigwangala,D.Kafulila na E.Maige ambaye ni muongoza mada.vijana wote UDOM,CBE,CAPITAL,HOMBOLO nk karibuni pale.
Mimi mwenyewe ntkuwepo mwnyewe kwa ajili hiyo!
 
Wana jf,nitumie fursa hii kuwajulisha juu ya kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango dodoma Siku ya j2 tar 15/4/2012 saa 7 mchana.Mada itahusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA.watakuwepo waheshimiwa wabunge E.Wenje,J.Nassari,D.Silinde,H.Kigwangala,D.Kafulila na E.Maige ambaye ni muongoza mada.vijana wote UDOM,CBE,CAPITAL,HOMBOLO nk karibuni pale.
Mimi mwenyewe ntkuwepo mwnyewe kwa ajili hiyo!

Hongera na ni mwanzo mzuri sana lakini nina maswali kidogo juu ya hili
1. Kama ni changamoto ya ajira kwa vijana kwa nini hapa inaonekana ni vijana wa vyuo tu ndo unaowapa taarifa????? Vipi waliojiajiri na wajasi wa town kati ambao hawapo katika vyuo tajwa????? Changamoto ya ajira ni kwa vijana woote na si wasomi pekeee

2. Hiyo line-up yako mbona kama imejaa wabunge tu????? Unajua umuhimu wa multi-sectoral collaboration linapokuja suala mtambuka kama hili??? Sidhani kama hao pekee wanaweza kuleta flavour nzuri kwenye hilo kongamano......ingekuwa vizuri kuhusisha na kada nyingine kama walimu, taasisi za kifedha hususan mikopo, saccos, mashirika ya pensheni, wanafunzi wa sekondari, wanasheria, TRA na kadhalika ili changamoto hii ijadiliwe kwa mapana na kina chake. Waziri wenye dhamana ni muhimu wawepo na muwape ukweli as from the ground

Angalizo:
(1)Msichakachue mada hii kwa agenda za vuguvugu la kisiasa wala dini ambalo kwa sasa linaingizwa kila sehemu ambapo jamii inategemea mabadiliko chanya.
(2) Mwende na hoja zenu waalikwa wawe wachangiaji otherwise power relation itawafanya nyie kuwa wasikilizaji badala ya kujadiliana na waalikwa wenu
(3) Mpitie sera husika na katiba kwa umakini ili muwe na solid base kwenye hoja zenu kabla ya kuanza kufanya majadiliano haya

ALL THE BEST
 
dik. Hapo sasa ndio taarifa imejitosheleza. Nitakuwepo ukumbini mudA HUO. Mafisadi wanashikilia MAeneo Yenye ajira. hawawezi kuajiri ktk kiwango kinaCHOTAKIWA KWA VILE WAna maximize profit. Hawalipi kodi. Makampuni mengi ya viongozi mafisadi.
 
Hongera na ni mwanzo mzuri sana lakini nina maswali kidogo juu ya hili 1. Kama ni changamoto ya ajira kwa vijana kwa nini hapa inaonekana ni vijana wa vyuo tu ndo unaowapa taarifa????? Vipi waliojiajiri na wajasi wa town kati ambao hawapo katika vyuo tajwa????? Changamoto ya ajira ni kwa vijana woote na si wasomi pekeee 2. Hiyo line-up yako mbona kama imejaa wabunge tu????? Unajua umuhimu wa multi-sectoral collaboration linapokuja suala mtambuka kama hili??? Sidhani kama hao pekee wanaweza kuleta flavour nzuri kwenye hilo kongamano......ingekuwa vizuri kuhusisha na kada nyingine kama walimu, taasisi za kifedha hususan mikopo, saccos, mashirika ya pensheni, wanafunzi wa sekondari, wanasheria, TRA na kadhalika ili changamoto hii ijadiliwe kwa mapana na kina chake. Waziri wenye dhamana ni muhimu wawepo na muwape ukweli as from the ground Angalizo: (1)Msichakachue mada hii kwa agenda za vuguvugu la kisiasa wala dini ambalo kwa sasa linaingizwa kila sehemu a

good observations!
 
ni wazo nzuri, ila nawaombea muweze kufikia lengo, lakini ki ukweli tatizo la ajira kwa vijana mimi naona twende kiutendaji zaidi, mara nyingi vijana tumekuwa tunaongea, ifike mahali hao wageni mliowaalika wawe wanatoa maeneo yao waliyojilimbikizia kwa vijana ili tukalime na wakaseme bungeni mradi wa matrekta ya kilimo kwanza yauzwe kwa bei rahisi, lakini suala la kuongea, mara huyu ,mara huyu, miaka inaenda jamani. ila ni kijana leo anahitaji vitendo zaidi.
 
Back
Top Bottom