Tanzania ni nchi ya kipekee kwa kila jambo?

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Wana jamvi hii imekaaje naomba mawazo yenu hapa, nchi yetu inaongoza kwa vivutio kibao barani mwetu, mito,bahari,maziwa, na vitu vingine vingi. sasa kuna hili lingine la wananchi kuwa na mwamko wa mabadiko chanya kuwazidi watawala wao je hii nayo ni sifa ingine kwa taifa letu na nini madhara yake?
 
mtawala ana faidika hana haja ya mabadiliko!inakuaje nchi ya peru iingize 65%ya pato lake kutokana na dhahabu?sisi %?
 
Na viongozi walio tayari kupoteza rasilimali na muda kuficha ukweli.I like to watch a communist/or socialist nation.
 
Back
Top Bottom