Very sad news- MWANZA.
Usiku wa kuamkia leo, majira ya 01;00hrs, maeneo ya BUGANDO HOSPITAL, jijini mwanza, nyumba moja imeungua moto na kugharimu maisha ya watoto watano. Chanzo cha moto huo ni...
Majina ya walio na wasioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki 14/04/2012
1.0 Tarehe 9 Machi, 2012 nilitoa Tangazo kwa vyombo vya habari na gazeti la Serikali juu ya kuwepo kwa...
Sad News:
Livorno's Morosini dies after
collapsing in Serie B match 25 year old Italian Serie B
Player Piermario Morosini has
died after collapsing on the
pitch during a match at Pescara
due...
Prof Baregu akataa Biblia & Kurani
RAIS Jakaya Kikwete amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hautavunjwa na wala Watanzania wasitarajie kuwa Tume ya Katiba itawahoji kama...
Salaam wana JF!
Kama wasafiri hapa duniani, binadamu tumekuwa tukipigana na kujitahidi kwamba tunapata mafanikio ili siku pale parapanda litakapolia, basi mtu aweze kuondoka na kuacha alama...
Nionavyo tunapaswa ama kuangalia upya sheria inayolinda maliasili zetu kama misitu na tunapaswa kuweka uzalendo sana ktk hili.kuna ukweli kwamba serikali ya Kenya imepiga maruku uvunaji wa aina...
Nafasi ya Rais Joyce Banda wa Malawi inanifanya niwaze mengi ambayo niliyawaze mengi na pengi kuibia yale niyokiuwa nimeanza kuyasahau, Siku zote ninawaza kuwa Marais wetu w kitanzania ni watu...
Wana jf,nitumie fursa hii kuwajulisha juu ya kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango dodoma Siku ya j2 tar 15/4/2012 saa 7 mchana.Mada itahusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA...
Wakulu jana nilichelewa kuwaletea habari hii kwakuwa nilibanwa na shughuli nyingi na vikao kemkem.
Kuna taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika kuwa sasa pesa zilizopitishwa serikalini...
Ktk hali ya kushangaza ,hali inayoturudisha ktk zile enzi Tanzania ilichukua number 1 kwa maambukizi ya ukimwi duniani.Ilikuwa bahati WHO walikuwa na data, vilaza wa kibongo walishaandika data zao...
Wana jamvi hii imekaaje naomba mawazo yenu hapa, nchi yetu inaongoza kwa vivutio kibao barani mwetu, mito,bahari,maziwa, na vitu vingine vingi. sasa kuna hili lingine la wananchi kuwa na mwamko wa...
Nasikiaga clouds tv clouds tv. Urushaji wao wa matangazo ya live kumbe sio.Mlobahatika kuona Katika viwanja vya Readers katika kuuaga mwili wa marehemu Steven Kanumba nahisi mna mengi ya kuchangia.
Leo(14/4/2012) nimemsikia mkuu wa wilaya ya kibondo kwenye taarifa ya habari(STAR TV) akiwakemea wanakijiji wa kijiji kimoja wilayani humo kwa kitendo chao cha kugomea kutwaliwa kwa maeneo yao...
Wanabodi
Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati...
Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha...
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi...
Jana nilifuatilia sana n leo imetaarifiwa kwamba Baraza la Habari limeshutumu vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii kwa jinsi vilivyoripoti tukio la kifo cha msanii mmoja marufu hivi...
Jamani nikisoma gazeti la haabri leo jana naona picha ya mzee mwenye familia akiapishwa na mh rais niliposoma chini naona wameandika rais akimuapisha katibu tawala mh mariam mtunguja
he sasa sijui...