Player dies after collapsing

Loy MX

JF-Expert Member
Mar 26, 2012
1,253
312
Sad News:
Livorno's Morosini dies after
collapsing in Serie B match 25 year old Italian Serie B
Player Piermario Morosini has
died after collapsing on the
pitch during a match at Pescara
due to a Heart Attack.
Morosini fell to the ground in the 31st minute of the match
and received urgent medical
attention on the pitch. A
defibrillator was used on the
25-year-old player. There will be no games this
weekend in Italy's top flight
after the 25-year-old tragically
passed away after collapsing
during his team's Serie B match
against Pescara. Rest in Peace Piermario
Morosini
 
R.I.P.tunakuombea kwa Mungu pumzika salama tutakukuta sote tu safari moja:amen::amen:
 
RIP
ila its about time kuangalia kwanini haya mambo yanatokea sana siku hizi na inabidi hawa athletes wapate medical check up zaidi

Within few years tunampoteza Mark Vivian Foe, Kidogo tumpoteze Fabrice Muamba and Now This... ?
 
Daah inauma sana hayamatukio ya kuanguka wachezaji uwanjani mbona yamekuwa yanatokea mara kwa mara kunani?
R.I.P Morosini
 
mie nilijua hawa wanamichezo ndio wako fit haya mambo ya heart attack hayawahusu,inakuwaje jamani???mie naogopa sababu am overweight.
 
mie nilijua hawa wanamichezo ndio wako fit haya mambo ya heart attack hayawahusu,inakuwaje jamani???mie naogopa sababu am overweight.

sababu ziko zinazojulikana kwa magonjwa yanayotokea kwa familia na kurithiwa....gonjwa kama la hypertrophic cardiomyopathy lilikuwa chanzo cha tafrani hiyo kwa baadhi ya wachezaji na wanariadha....gonjwa lingine linajulikana kitaalam kama long QT syndrome ambalo hurithiwa na huathiri mfumo wa umeme ktk moyo(mhusika anaweza kufa ghafla kwa arrythmia)...na kuna sheria kuwa wanariadha wengi na wachezaji huchunguzwa kwa haya matatizo...sina uhakika wa hapa nchini kwetu....

all in all ni pale myocardial oxygen demand inapozidi supply haswa wakati wa mazoezi/michezo...mtu huweza kupata heart attack....lakini pia kuna kuwepo na underlying predisposing factors au mara ingine hakuna...

Overweight si jambo jema,mazoezi ni muhimu bado kwa afya
 
Back
Top Bottom