Tunataka rais muuza mandazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka rais muuza mandazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Voice of Voices, Apr 14, 2012.

 1. Voice of Voices

  Voice of Voices Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafasi ya Rais Joyce Banda wa Malawi inanifanya niwaze mengi ambayo niliyawaze mengi na pengi kuibia yale niyokiuwa nimeanza kuyasahau, Siku zote ninawaza kuwa Marais wetu w kitanzania ni watu waliotoka katika familianzuri hivyo ni vigumu kuwakumbuka wanyonge maanahawajui shida nini, wameishi maisha mazuri tangu utoto wao.

  Tena mar nyingine nawaza kuwa tukipata mtoto wa ombaomba alisoma kayuma na akauza mandazi kama Rais Banda basi anaweza kutukumbuka sisi wauza mandazi wenzie kama vile Rais wetu hata wale waliopita wanavyoumbuka matajiri wenzao.

  Nafkri mawazo yangu yatakuwa sawa pale nitakapoona Rais Banda amefanya vizuri katika uongozi wake kwa kuwakumbua wanyonge na kutojilimbikizia mali.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahah the the teh the
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,184
  Trophy Points: 280
  maandazi fleva dot com
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  lakini si muuza maandazi sasa,hiyo ilikuwa kitambo kama wewe unavyo uza magari sasa
   
Loading...