Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuukana uraia wangu Ninamawazo mengi sana juu ya mustakabali wa Tanzania. Nawaza sana juu ya hali ya uchumi wa Tanzania miaka kumi ijayo. Kama akutakuwa na mabadiliko ya dhati ya kiutawala. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Shirika la ndege la taifa pamoja na ndege inayobeba nembo ama bendera ya taifa ni namna mojawapo bora sana ya kutangaza taifa nje ya nchi,kwani ndege inaposafiri kwenda nje wenyeji na wasafiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watz tuhamasishane kufanya utalii wa nje na ofisi kubwa wameahidi kutoa ufadhili kwani kilimo kwanza na mikopo elimu ya juu imeonekana kutofanya vizuri. 1. Wanaotaka kwenda kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha kimezidi kutikisika baada ya viongozi wake kuendelea kujiondoa na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Siku mbili, baada ya...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Juzi katika taarifa za habari kiongozi mkubwa wa Tanzania anawaita watu walioiba pembejeo za kilimo kuwa ni wajanja wachache ambao wameiba pembejeo hizo, hii inakuza dhana ya ufisadi Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa ufike wakati wananchi tufanye kila liwezekanalo viongozi wetu wawajibishwe.Ni aina gani hii ya uchumi unaonadiwa kustawi kwa asilimia 6.5 wakati deni linakua kwa asilimia 36?
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Tuesday, April 17, 2012 3:20pm PDTBy: Pete Thomas, GrindTV.comTwo commercial fishermen in Mexico received the surprise of a lifetime Sunday when they hauled up a great white shark measuring...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu sijakurupuka, ila nimekosa kabisa mahali ambapo nitapata information ndo nikaamua niulize humu. Kwa sasa, nauli ya mabasi kutoka Dar kwenda Songea ina range ya bei gani? Tafadhali naombeni...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUNGIWA NDANI YA NYUMBA NA KISHA KUCHOMWA MOTO. Wanafamilia walionusurika kifo baada ya baada ya kufungiwa ndani ya nyumba na kisha kuchomwa moto, usiku wa saa...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
nilikua kituoni mwenge ghafla katokea trafik akamwita kondakta njoo alafu akaenda kwenye meza ya magazeti akachukua magazeti mawili akaondoka konda ndie mlipaji bila kupatana. je hii ni haki kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kawaida waziri wa fedha yupo USA na waziri wa maji yupo USA kwa ajili ya maandalizi ya bajeti ya TANZANIA,amekwenda USA kufanya mambo makubwa yenye mashiko na nchi je,kwa mtindo huu si lazima...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Duh kweli ccm imekosa wasemaji! Maana huyu nape ni kama yule waziri aliyekuwa akijigamba kuwaangamiza wanajeshi wa marekani wakati akijua kuwa hali imekuwa mbaya, kwa nini asiwe mkweli kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nimekuwa nikifatilia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani kwa muda mrefu sasa sijaona updates yoyote e.g ukifungua upande wa vacancy hamna lolote wakati hapo majuzi idara inazosimamia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAMA KANUMBA AAMBULIA MIL.4 KATI YA MIL.52 ZILIZOCHANGWA KWA AJILI YA MSIBA WA MWANAWE SOURCE:MAMAPIPIRO BLOG WAKATI kamati ya Mazishi ya msanii wa Filamu nchini Steven Kanumba...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
https://twitter.com/#!/ITVTANZANIA http://youtu.be/TsVjmQ9W0Ks
0 Reactions
2 Replies
3K Views
GreatThinkers, Muda huu sasa hivi 19h35 mabomu yanapigwa Central Buhongwa Secondari School Mwanza. Madogo walitaka kuchoma shule ila baadhi ya walimu wamefungiwa ofisini Madogo yamenunua petroli...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Source: mpayukaji blog Wengi wanachukia tabia ya rais Jakaya Kikwete kupenda raha na utoro kazini. Pia anapenda sana matumizi ya hovyo kiasi cha kutunisha deni la nje la Tanzania. Kimsingi...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Closed
Naomba niwape pole kwa majukumu ya kila siku Great Thinkers. Nakerwa sana na baadhi ya wabunge ambao tangia bunge lianze sijawahi kusikia wamechangia ama kuuliza swali hata siku moja. Maana ya wao...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…