Sasa hali ipo wazi, tena wazi pasipo kificho! Ule usemi usemao 'MALIPO NI HAPA HAPA DUNIAN' kweli unaenda kutimia, Mtazameni PM PINDA ambaye angeweza kuokoa mamia ya watu waliokufa ktk mgomo wa...
Watanzania kumi na wawili(wenye asili ya zanzibari)... leo wamekamatwa wakiwa wanaelekea katika mjengo wa Balaza la wawakilishi kwa kile walichodai KUSHINIKIZA WAJUMBE WA BALAZA HILO KURIDHIA NA...
Ndugu zangu watanzania
pengine ni wengi watafurahishwa na swala la kujiuzulu kwa mawazri hata kufuta baraza zima la mawaziri..kama nilivyosema mwanzon yawezekana tatizo sio mawaziri pekee hata...
Raia mmoja amejinyonga kwa kamba mwezi mmoja baada ya diwani wake wa ccm kujinyonga hapa katani mlangali wilayani ludewa. Tabia ya kujinyonga inaanza kuchukua chati kubwa hapa katani kwani huyu ni...
Watanzania msije mkawaamini wabunge wa CCM wanaoonesha mtazamo na fikra za kupingana na serikali ya CCM na CCM yenyewe. Hawa ni wanafiki wakubwa na nafikiri ni vichaa zaidi ya hawa tunaowaona...
Hamjambo wana jf napiga hodi kwa mara ya kwanza kwa kuwapa habari za mkutano wa chadema ambao kwa mahudhurio wakazi wa geita wanadai haijawahi tokea,matukio ya leo moja ni diwani mwingine wa...
The country's most endangered tree species, Terocarpus Tinctorious, Militia Excelsa and Bombax Rhodognophalon, are reportedly on the verge of extinction due to massive illegal logging in the...
Posted on April 20, 2012 by zanzibaryetu
Hashim na wenzake wakiwa katika gari la Jeshi la Polisi likiwachukua na kuwapeleka Madema, baada ya kukusanyika katika viwanja vya baraza la wawakilishi...
Jana mishale ya sa 2 aubui, kulikua na written interview mitaa ya mwembe yanga kupata watumishi wapya wa serikali yetu. Kwa hesabu za makadirio ( ambazo pia zinakubalika), nusu ya walioitwa ndio...
Katika operation ilitofanyika mchana huu na jeshi la polisi mkoa wa Kinondoni, imewanasa majambazi kadhaa na watatu kati yao kuuwawa. Nipo Magomeni Usalama hapa.
PIA WAWEZA PATA PICS NA INFO ZAIDI ZA UTALII WA AFRICA KWA UJUMLA KWA KUBPFYA HAPA Africa | Facebook
Kilwa Kisiwani was once the most famous trading post in East Africa. In 9th century the...
naangalia hapa TBC na hizo ni picha zinazo onyesha viti vikiwa wazi
LAKINI PIA
Nimelisikia hili kupitia ARUSHA MAMBO FM
Wakati Mh Mbowe alipokuwa akitowa mchango wake,wapo wabunge 6 tu kutoka...
Zimefika saini 73, hizo zimezidi hata zile 70 zilizotarajiwa. Hongeza Zitto na Filkunjombe.
PINDA lazima atang'oka.
Kwanza wabunge wote wa CCM walio upande wa Lowassa, akiwemo yeye pia...
Kwa hili Anna makinda amelivaa bommu na watanzania sijui tumpe adhabu gani?
Wnasheria rudini hapa mtupe mwongozo juu ya hili fraha yetu imepotea ya kumuondoa nduri fisadi,wanyanyasaji na wezi
hizi ndizo hela zilizosifiwa na benno ndulu pamoja na mkulo kwamba zina sifa zote lakini cha kushangaza zinaanza kuachia kwenye utepe waliokuwa wakiusifia
Hivi kuwachia wabunge watusemeeee tuuu na sisi tumenyamaza mawaziri wanaendelea kudunda kila mbuge anaye siamama anaongea mpka anataka kupasuka na pesa ili fisidiwa si yetu watanzania mim nadahan...
Hoja ya mh.zitto kabwe ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na serikali limeonekana kugonga mwamba kwani imeripotiwa kwamba hata kama idadi ya wabunge watakao weka sahihi ikifikia 70...
Tuliondoka April 16 jioni toka Dar kupitia Nairobi kwa Swiss Air, April 17 baadhi ya tuliotoka East Africa na kuunganisha US airways kwenda kutalii Marekani tulionja joto ya jiwe tulioingia pipa...
Fikra za mwanadamu zinapotawaliwa na hulka ya ushabiki zaidi ya ukweli ,maamuzi hutolewa pasipo kuzingatia ukweli.Pia maamuzi hayo huambatana na hoja nyepesi zisizo na manufaa katika utatuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.