Hela za benno ndulu na mkulo matatizo tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hela za benno ndulu na mkulo matatizo tupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ALEX PETER, Apr 20, 2012.

 1. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  IMG00053-20120327-1038.jpg IMG00053-20120327-1038.jpg IMG00053-20120327-1038.jpg

  hizi ndizo hela zilizosifiwa na benno ndulu pamoja na mkulo kwamba zina sifa zote lakini cha kushangaza zinaanza kuachia kwenye utepe waliokuwa wakiusifia
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Majizi yote. Serikali yote imejaa majizi tu.
   
 3. e

  evoddy JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tutawalaumu sana mawazir,i wakurugenzi, makatibu wakuu ,gavana na manaibu wake maana anayesitahili kulaumiwa hata ikiwezekana kupigwa mawe ni JAKAYA MRISHO KIKWETE maana yeye ndiye aliyewateua,

  Tukumbuke kauli ya Baba wa TAIFA MWL JK Nyerere alisema ,wewe Mrisho umri wako bado mdogo,lakini watanzania wakadhani amesema umri wa miaka kumbe ile alimanisha kuwa hana uwezo wa kuongoza
   
 4. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Haya mambo ya 10% kwenye uchapaji. Mimi nilisemaga tangu day 1 hizi fedha ni mbovu kupata kuonekana juu ya uso wa dunia. Huwezi amini, mimi noti ya kwanza kuiona ilikuwa tayari imeshachakaa. Ka mia tano ndio kachafu kupita maelezo jamani.

  Hii ni sababu nyingine ya kumwajibisha Pindwa
   
 5. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tatizo rais wetu ni muoga kuchukua maamuzi hataki ampoteze mtu yeyote anaona kama wote abiria wake wakat wananchi wanaendelea kuumia
   
 6. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Huu ndio ushikaji wa RAIS wetu KIKWETE..Ata mambo ya msingi yeye anacheka kumbuka hizo fedha ni kodi zetu watanzania sasa utaendelea na ushikaji huu mpaka lini? ni lini utajifunza uongozi kuna mambo ya msingi ambayo lazima uwajibike na uwawajibishe wote wanaokuhujumu...Tokea tupate uhuru Tanzania haijawahi kutengeneza Fedha mbovu kama hizi jiulize ni kwanini kipindi chako tu? Fedha ndani ya mwaka mmoja hazipiti kwenye ATM, yani leo hii ukimpa mtu chenji anasema apatiwe za zamani hii inamaanisha nini? Any way NYANI WAKO UNAO WACHEKEA NDO HAYO MABUA NA TEGEMEA MAKUBWA ZAIDI KWANI HII NI NCHI YA 10%
   
Loading...