Hoja ya zitto yagonga mwamba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya zitto yagonga mwamba!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drmkumba, Apr 20, 2012.

 1. drmkumba

  drmkumba Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hoja ya mh.zitto kabwe ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na serikali limeonekana kugonga mwamba kwani imeripotiwa kwamba hata kama idadi ya wabunge watakao weka sahihi ikifikia 70 zoezi hilo halitawezekana kwani ilitakiwa spika wa bunge angepewa notice ya siku kumi kabla kitu ambacho kimeonekana kushindwa kwani kikao cha bunge kitasitishwa jumanne!


  Source.channel ten.
   
Loading...