Aliye mwaga damu ya wale raia sasa ina mlilia, lazma imtafune na wale washirika wake.

Jotojiwe

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
335
130
Sasa hali ipo wazi, tena wazi pasipo kificho! Ule usemi usemao 'MALIPO NI HAPA HAPA DUNIAN' kweli unaenda kutimia, Mtazameni PM PINDA ambaye angeweza kuokoa mamia ya watu waliokufa ktk mgomo wa madaktari sasa yupo ktk hali gani, njia yake ni nyembamba kama ya nyoka, kama alivyoshupalia ule mgomo kutousitisha nae atashupaliwa kutokua PM ktk taifa hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom