Wazanzibari kumi na wawili wakamatwa wakipinga muungano.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari kumi na wawili wakamatwa wakipinga muungano..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magwero, Apr 20, 2012.

 1. M

  Magwero JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Watanzania kumi na wawili(wenye asili ya zanzibari)... leo wamekamatwa wakiwa wanaelekea katika mjengo wa Balaza la wawakilishi kwa kile walichodai KUSHINIKIZA WAJUMBE WA BALAZA HILO KURIDHIA NA KUPENDEKEZA KUWAKO KURA YA KUWAKO AU KUTOKUWA KWA MUUNGANO...

  Source: DW
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huwezi kuzuia ndevu zisiote tusubiri.
   
 3. M

  Magwero JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mkuu unamaana gani...?!
   
 4. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huu muungano wa kulazimishana utawatokea puani
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  kwanini wamewakamata ? si wangewaacha tu ? yaani wangejau jinsi tulivyowachoka wangewaachia . inafaida kwetu eti .
   
 6. J

  John W. Mlacha Verified User

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  WATANGANYIAK WANATUONEA SANA..ILA WAMETUWEZa kwa kuwapa kina bilala vyeo
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Na nyinyi mungefanya ya kwenu mukasema Wazanzibari tumewachokaaaaaaa!
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  to heal kwan tukivunja huo muungano ce wa bara tutaendelea kupeta km kawa. kaz kwao wazenji!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Ni uhaini/uasi kuvunja Muungano kwa staili hiyo!
   
 10. M

  Magwero JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kwa hyo tufanye nin sasa..?
  Na nin unadhani kitatokea..?
   
 11. M

  Magwero JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kwani ni nani hasa anatakiwa kuamua juu ya huu muungano..?kama uendelee kuwako au laa
   
 12. M

  Magwero JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Katika lipi wanatuonea Amii..? AU kutupa wajumbe 15,sawasawa na kwao bara katika uratibu wa maoni ya katiba mpya..?
   
 13. M

  Magwero JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Unadhani nin kitatupata..?
  Itakuwa Zenziberi kama Dubei et..
   
 14. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar itakuwa Somalia au nafuu kama itavamiwa na jirani Tanganyika
   
 15. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kibelaaa! Nyavu zangu zime cheuwa. Wawape uhuru bana inatosha sasa au sio Watanganyika wenzangu??
   
 16. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naanza kuamini kuwa huu muungano ni wa kulazimishana. Kwa nini tuanze kulazimishana kwa mambo ambayo wenzetu hawayataki?
   
 17. M

  MalikwaMali Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ujinga mtupu.
   
 18. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kweli we mzanzibar ht handwriting yako inaonesha!!!....anywy bilal, shein na wote waliopewa madaraka tngnyk ni vikwazo vikubwa ktk kuujadili muungano!!!
   
Loading...