Wabunge wote wa CCM wakimbia ukumbini

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
IMG_20120419_221849.jpg IMG_20120419_221804.jpg
naangalia hapa TBC na hizo ni picha zinazo onyesha viti vikiwa wazi

LAKINI PIA

Nimelisikia hili kupitia ARUSHA MAMBO FM

Wakati Mh Mbowe alipokuwa akitowa mchango wake,wapo wabunge 6 tu kutoka ccm tena ni mawaziri

kaaaazi sana
 
Nilipata kusikia kwamba siku hizi wanalipwa posho endapo wanamchango kwenye hoja zinazojadiliwa. Kwa hiyo kama ni kweli, inawezekana hawana chochote cha kuchangia, na kwa hali hiyo wanafanya shughuli nyingine.
 
hivi bomu la tani ngapi linaweza likawasambaratisha wote with no survivors?msaada please!
 
yaani inauma sana kuona watu waliopaswa kuusikia ukweli wanaukimbia kiasi hicho, siyo mbaya, wanazidi kuipaisha chadema bila wao wenyewe kujua.
 
hivi bomu la tani ngapi linaweza likawasambaratisha wote with no survivors?msaada please!

Mkuu hiyo ya "No Survivors" utaharibu kwa kweli, kuna makamanda wapiganaji a.k.a watetezi wa kweli.
We tafuta mdunguaji hodari awachape mmoja mmoja.
 
Kuukimbia Ukweli ni Kazi Bure; Maana utakufata hata kama ukiwa usingizini au hata kama ukifa. The Truth must be revealed, it is only a matter of time.
 
je wakienda kupima ngoma c ndo watakimbia kwa speed kali kuliko ya duma?
 
tena linatakiwa lile la kugeuza juu chini ili wafukiwe wote na kusiwepo hata kumbukumbu yao
No tupate sample za kufanyia utafiti, inawezekana mbongo zao zimekaa kinyumenyume ndo maana wanafikiri kinyumenyume. nchi tajiri, wananchi masikini, uchumi umekuwa, wananchi wanazidi kuwa masikini

Lukuvi ndo sample number moja. Dungua mmojammoja
 
Back
Top Bottom