Wabunge wa CCM ni wanafiki wakubwa, wanaiga wabunge wa upinzani wakifikiri kwamba wenzao ni wanafiki

lonyorengai

Member
May 12, 2008
71
35
Watanzania msije mkawaamini wabunge wa CCM wanaoonesha mtazamo na fikra za kupingana na serikali ya CCM na CCM yenyewe. Hawa ni wanafiki wakubwa na nafikiri ni vichaa zaidi ya hawa tunaowaona barabarani kila siku. Haiwezekani Mbunge akasimama kuipinga serikali yake halafu hoja mbovu akaiunga mkono! Haiwezekani kuipinga serikali yako halafu unakataa kushiriki katika kufanya uamuzi magumu wa kuwawajibisha wanaofuja mali ya umma! Haiwezekani ukaitwa kupewa vitisho na mtu yeyote ukaamua kuacha kutenda jambo kwa ajili ya maslahi ya wananchi waliokupa ridhaa ya kuwawakilisha bungeni! HUU NI UFISADI MPYA NA TUSIUKUBALI! NI UFISADI UNAOPITA HATA HUU WA KUIBA NA KUJILIMBIKIZIA MALI. Watanzania wazalendo tuamke, nchi yetu inaendeshwa sasa kwa siasa za kitapeli!

Kama kweli wanaipenda Tanzania,wajiengue CCM au Wasiunge mkono hoja za Serikali zinazowasilishwa zenye lengo la kuwahadaa wananchi na serikali kutengeneza mazingira mazuri ya ulaji na wizi.

Mimi naamini jambo moja kwa hawa wabunge wa CCM! Wanachonga sana bungeni kuwaharibia mawaziri ili wao waonekane ni wazuri kwa wananchi kumbe sio, pia wanataka madaraka ya uwaziri husika.

Jamani tuamke na tuache kushabikia aina hii ya viongozi!
 
Hawana lolote hao, mbona tulishawastukia kitambo!Ni mabarafu yanayojiita magumu penye ubaridi na yanayeyuka mara tu jua likiwaka!
 
CCm ni wanafiki ni sawa, na CDM kumchukua Milya ni nini?!!! Atawaliza CDM mpaka mshangae. Ushauri wa bure, achaneni na watu wenye damu iliyochakachuliwa na CCM, wapeni kazi vijana mliowalea wenyewe.
 
Kweli bro watu waliteseka kupgania chama mpaka hapa lakini magamba hao utaona yanapata vyeo wakat ndo yalikua yanatubomoa rejea arumeru mashariki jamaa alikuwepo.
 
Back
Top Bottom