Watanzania mawaziri wezi kwanini wanajiuzulu na wasifikishwe mahakamani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania mawaziri wezi kwanini wanajiuzulu na wasifikishwe mahakamani!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 20, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu watanzania
  pengine ni wengi watafurahishwa na swala la kujiuzulu kwa mawazri hata kufuta baraza zima la mawaziri..kama nilivyosema mwanzon yawezekana tatizo sio mawaziri pekee hata pengine lipo ngazi ya juu ya serikalini..sasa basi kama swala ni kushangilia na kuwaodoa hawa na mwisho kuweka wengine tutakuwa wehu kama si wendawazimu samahani kutumia neno hili takrishshi

  nasema hivi maana pengine tutakuwa tumewashtua ccm ni kumbe kuna swala la kujiuzulu lakini naamini m na wewe lengo sio tu hawa watu kujiuzulu swala ni kuwafikisha mahakamani na kufunguliwa kesi haraka iwezekanavyo....na mwisho kuufungwa na kufilisiwa mali zao ikiwezekana kesi isimalize hata mwezi mmoja na nusu

  Mh deo .f anasema kuna mawaziri anao ushahiidi wezi wakubwa na mwingine akawa bila aibu anataka kujitetea kwa kumtishia mh deo wakati ana kesi nyingi za kujibu ikiwemo kula pesa za mradi wa magari ya wanafunzi unajua zile pesa alizochangia zimeenda wapi kwa ajili ya mabasi ya wanafunzi???bila aibu anataka kutishia watui

  ndugu zangu mh deo sasa kama wamejiuzulu naomba pengine bado uko ccm naomba wapenyezee hata jamaa wa sheria wazuri waibuke mahakamani sikuhizi kuna mpesa na tigo pesa mkuu nakwambia hizo kesi watanzania tutazilipia mpaka tuone mtu anafungwa na kufilisiwa...uwezi kusema ninajiuzulu wakati una kampuni feki zimekamata miradi ya serikali na nje ya nchi japan ,france nk..huu ni uhuni leo hii uwezi kuniambia mkurugenzi wa tbs anajiuzulu nimwachie mama yangu mwanamke hata kwamaandamano lazima tumfungulie kesi mahakamani na tukishindwa basi tutapiga maombi ya adui afe ....sembuse hawa mawaziri wameiba billions jamani

  saaasa ni wakati wa kuelekea stage nyingine waliojiuzulu na ambao bado tupeleke mahakamani tukiwa na ushahidi akuna haja ya kuropoka huku watu wanabadilisha ndege ovyo washington-atlanta-texas kama wanaenda mbagala na bungeni hawauuzurii hata kidogo..hivi mh rais kwa nini haya ...y??????nani azaliwe akwambie uwaamini marafiki zako ni adui zako wakubwa?????mh raisi wakati unamchagua mkullo wengi walisema mengi na moja wapo yaliandikwa kwenye hii jf kama si leo basi kesho rias lazima ajute kumchagua mkullo....leo ni aibu tupu hizi aibu unazifichaga wapijamani...???hawa marafiki unateua wanaiba wanajiuzulu yataisha lini....ile kampuni ya ndege ulimchagua mate wako wa shule ambae hajui hata spea ya ndege inanunuliwa wapi!!!unatupeleka wapi mh raisi....nani aamke akwambie ukweli uamini????????????????????????????????????????????????????????
   
 2. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nyie mko Dunia gani? haiwezekani wakajiuzulu hivyo. Isitoshe implications za wengine wanaotajwa haziendani na mazingira ya sasa ya Bunge.
  Too much speculations without thinking. Give us a break!
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Kimsingi, Mawaziri waliolazimishwa kujiuzuru,isiishie kwa kujiuzuru pekee, hiyo peke yake haitoshi....ni lazima uchunguzi wa kina ufanyike ili ubainike uhusikaji wao katika ubadhirifu uliozikumba wizara zao. Ikiwa wamehusika moja kwa moja katika wizi na ufisadi huu basi ni lazima washitakiwe mahakamani. Hapa pasiwepo na mambo ya matumizi mabaya ya ofisi, bali ni mashitaka ya hujuma....hujuma dhidi ya wavuja jasho walalahoi!!
   
 4. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hakuna haja ya uchunguzi. uchunguzi wenyewe unachukua miaka kibao ndo nini akigundulika tu ndani aka nyee debe.
   
 5. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  JK anajisikiaje kuiongoza serikali ya watu wezi na wadokozi wa mali ya umma kwa kiwango hicho?
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwani mtu mwema atajisikiaje kuongoza serikali ya wema wenzake?
   
 7. B

  BAGENI Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chanzo ni boss wao jk.
   
 8. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hizo kazi waachieni akina Zitto na Lissu, kuweka shinikizo wajiuzuru ni hatua ya kwanza. Kisha hatua zaidi za kuwachukulia sheria kuwachunguza na kuwafikisha sehemu husika zitafata.
   
Loading...